capacity charge
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 352
- 489
Kiuhalisia ni MBEYE na si MBEYA. moja ya majiji yenye historia barani Africa na Ulimwenguni kwa ujumla iwe kwa mabaya au kwa mazuri. Jiji la mbeya haswa linachagizwa mno na linabebwa sana na kabila maarufu la WANYAKYUSA. hili ndilo Kabila ambalo asilimia kubwa ya watu ukiwaambia MBEYA wanajua Wanyakyusa tu bila ya kujua kuwa kuna WASAFWA, WAMALILA, WAANDALI NK. Hawa wanyakyusa ndiyo pasua kichwa saana aisee
Ndiyo hata mimi mwenyewe asili yangu na najivunia sana aisee. Baadhi ya sifa zetu ni hizi.
1. Hatupendi dharau hata kidogo
2. Ni watu wa kujiona sana na tujua kuringa hata kama hatuna kitu
3. Dada zetu wakiolewa na non-nyakyusa boys lazima mwanaume uipate fresh as ataendeshwa balaa.
4. Lakini pia we mdada ataye olewa na kaka wa kinyaki na ukijitia mjuaji tu mbele ya ndugu wa mume utakuwa kwenye wakati mgumu sana.
5. Ni watu wakarimu na uchoyo kwetu mwiko
6. Ni wasomi na wanapenda sana kubebana wakisoma mfano ofisi ambayo boss mnyaki hakika hawezi kuwa peke yake.
7. Kuonewa kwetu ni mwiko
8. N.K
MWISHO MBEYA NI MKOA AMBAO UNA KILA AINA YA BARAKA MFANO MAAJABU YA ASILI LAKINI PIA MAZAO YAANI MBEYA PEKE YAKE INA UWEZO WA KUILISHA DSM YOOTE. AHSANTENI SANA. Karibuni sana MBEYA.
[HASHTAG]#KUKAAJHA[/HASHTAG] TAASI#
NDAGA FIIJO MWEEE.!