Vijana wa kutoka Mbeya ni wastaarabu na wapole; mfano ni RayVanny

Kiuhalisia ni MBEYE na si MBEYA. moja ya majiji yenye historia barani Africa na Ulimwenguni kwa ujumla iwe kwa mabaya au kwa mazuri. Jiji la mbeya haswa linachagizwa mno na linabebwa sana na kabila maarufu la WANYAKYUSA. hili ndilo Kabila ambalo asilimia kubwa ya watu ukiwaambia MBEYA wanajua Wanyakyusa tu bila ya kujua kuwa kuna WASAFWA, WAMALILA, WAANDALI NK. Hawa wanyakyusa ndiyo pasua kichwa saana aisee
Ndiyo hata mimi mwenyewe asili yangu na najivunia sana aisee. Baadhi ya sifa zetu ni hizi.
1. Hatupendi dharau hata kidogo
2. Ni watu wa kujiona sana na tujua kuringa hata kama hatuna kitu
3. Dada zetu wakiolewa na non-nyakyusa boys lazima mwanaume uipate fresh as ataendeshwa balaa.
4. Lakini pia we mdada ataye olewa na kaka wa kinyaki na ukijitia mjuaji tu mbele ya ndugu wa mume utakuwa kwenye wakati mgumu sana.
5. Ni watu wakarimu na uchoyo kwetu mwiko
6. Ni wasomi na wanapenda sana kubebana wakisoma mfano ofisi ambayo boss mnyaki hakika hawezi kuwa peke yake.
7. Kuonewa kwetu ni mwiko
8. N.K
MWISHO MBEYA NI MKOA AMBAO UNA KILA AINA YA BARAKA MFANO MAAJABU YA ASILI LAKINI PIA MAZAO YAANI MBEYA PEKE YAKE INA UWEZO WA KUILISHA DSM YOOTE. AHSANTENI SANA. Karibuni sana MBEYA.
[HASHTAG]#KUKAAJHA[/HASHTAG] TAASI#
NDAGA FIIJO MWEEE.!
 
Pia kwa kuongezea hapo ,vijana was mbeya na waliokulia mbeya asilimia kubwa wamewahi kuokoka kwenye mikutano ya injili, labda hawa wa miaka ya karibuni lakini hapo nyuma lazima maana ile mikutano ilikua ni balaaa

Nadhani hiyo ndiyo inatufanya tuwe wastaarabu kwakua tunahofu ya Mungu,

Ndagha lelo bhakukaja,
 
Mpaa bhatumanye umwisi ughu
 
Hii research yako mbona iko shallow... 60% ? Kwa taarifa tu,Mbeya mjini kuna mchanganyiko wa makabila lkn wanyakyusa wame dominate baada ya kabila la wasafwa kukimbilia milimani.Kwa upande wa biashara wanyakyusa wanaongoza kwa uuzaji wa mazao..hao wakinga na wachaga ni upande wa biashara za maduka,kumbuka Mbeya haifahamiki kwa maduka..Bali kwa uuzaji wa mazao ya nafaka yanayolimwa na wanyakyusa
 
Utakufa Maskini wewe sisi Tunasema LACK OF MONEY IS THE SOURCE OF ALL EVILS wakati nyie sijui mnajiita wenye elimu mnafikiri kwamba LOVE OF MONEY IS THE SOURCE OF ALL EVILS!

Halafu kwanza una Elimu gani Kijana!
Naona kijana unaleta debate za form one ili nawe uonekane msomi.
 
Acha wakutukane tu sababu huwezi kufa au hautakuwa Rayvanny
 
Sema vijana wa kamdete, ndufumbi ndio wapole
 
Back
Top Bottom