popbwinyo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,986
- 3,615
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilipokua naenda A-level baba yangu aliniambia hata siku moja usiwaamini wanaotoka mbeya sikumuelewa leo nimepata kuwaelewa vizuri na nimekubali alichoniambia
Weeeee [emoji34][emoji34]Maisha tu yamemnyoosha na kumfunza kuishi na watu ila kwa kawaida vijana wa mbeya ni bange, majungu, vurugu na mihemko kwa kwenda mbele
Huu ulimbukeni sasa kwan kuna mkoa/jiji gani tanzania utasema ni mjini? na unaposema mkoa wa porini unamaanisha nini?Ni mji wa kilimo in general hata pale mbeya mjini ni wakulima wengi wanaouza mazao, usishangae kwa nini jiji kisa wingi wa watu ila kiuhalisia ni mkoa wa porini sana
Ukweli ni huuMaisha tu yamemnyoosha na kumfunza kuishi na watu ila kwa kawaida vijana wa mbeya ni bange, majungu, vurugu na mihemko kwa kwenda mbele
Ipo mkuu,jamaa mmoja anaipamba sumbawanga.mr swax humu humu jfMweh sijawahi ona thread inayo sifia mkoa wa rukwa umu dah
Pia kwa kuongezea hapo ,vijana was mbeya na waliokulia mbeya asilimia kubwa wamewahi kuokoka kwenye mikutano ya injili, labda hawa wa miaka ya karibuni lakini hapo nyuma lazima maana ile mikutano ilikua ni balaaa
Nadhani hiyo ndiyo inatufanya tuwe wastaarabu kwakua tunahofu ya Mungu,
Ndagha lelo bhakukaja,
Don't generalize thingsMfano Ray vanny ni kijana wa kuigwa kulingana na mafanikio yake lakini very humble hata ukimuangalia na Izo bnes mtakubaliana na mimi. Msinitukane plz ni maoni yangu tuu.
kuna mtu kafukuaDuuu hiii mada bado ina trend?
Aisee!!Mfano Ray vanny ni kijana wa kuigwa kulingana na mafanikio yake lakini very humble hata ukimuangalia na Izo bnes mtakubaliana na mimi. Msinitukane plz ni maoni yangu tuu.
TumekufikiaSawa tumekusikia