Vijana wa kutoka Mbeya ni wastaarabu na wapole; mfano ni RayVanny

Vijana wa kutoka Mbeya ni wastaarabu na wapole; mfano ni RayVanny

Nilipokua naenda A-level baba yangu aliniambia hata siku moja usiwaamini wanaotoka mbeya sikumuelewa leo nimepata kuwaelewa vizuri na nimekubali alichoniambia


binadamu haaminiki Siku hizi sio hao aliokwambia baba yako tu
 
Ni mji wa kilimo in general hata pale mbeya mjini ni wakulima wengi wanaouza mazao, usishangae kwa nini jiji kisa wingi wa watu ila kiuhalisia ni mkoa wa porini sana
Huu ulimbukeni sasa kwan kuna mkoa/jiji gani tanzania utasema ni mjini? na unaposema mkoa wa porini unamaanisha nini?
 
Kwanza kabsa huyu anaejiita handsome ni fala na shoga wa dar.

Mimi nusu ni mtu wa chuga nusu mbeya,nimekaa mbeya almost 20 years.ngoja nikupe sifa za watu wambeya

Kwanza ujue wenyeji wambeya mjini ni wasafwa sio wanyakyusa,ila wanyakyusa wametawala hadi mbeya mjini kutokea pande zote za mbeya haswa kyela na tukuyu.

Mbeya ni mchanganyiko wamakabila mengi na moja ya makabila wenyeji,ni wandali,wamalila.... Na hapa pana wakinga ,wachaga nk

Sifa kuu ya mbeya ukizaliwa hapa hata uwe kabila gani lazima utakua na mbeya blood ndani yako.


Watu wa mbeya ni veeeery proud wa mji wao sijawahi ona popote yani.na ujue izo b na sugu si wanyakyusa kama unavyodhani.

Alieseme watu wambeya ni enfirior au waoga sijui is totally wrong.watu wambeya wengi wanaconfidence na over confidence kupitiliza.wapo wapole ndio lakini wengi wao ni waongeaji .

Si wachokozi ila ni washari sana na usiombe umchokoze MTU wambeya unaweza juta na popote walipo wanajua kujichanganya sana na wanaushirikiano mno na kila walipo wanataka wajulikane wametoka mbeya.nimezunguka mikoa mingi tz karibu yote nimeona wapo na jezi zao za mbeya city mgongoni na wanajivunia sana kwao

Huwez kumshinda ujanja mtoto wambeya aisee asikudanganye MTU.labda awe boya tu mwenyewe.

Ukitaka kujua kichaa cha wanambeya nenda mbeya siku mbeya city inacheza na team yoyote alafu wafungwe au washinde uone moto.kuna wadada wamedata hakuna mfano.

Watu wambeya ni veeery smart mifano IPO mingi kupitiliza na wanapenda sana kuvaa mana chakula si tatizo.


Unapozungumizia masuala ya wanyakyusa wakyela na tukuyu hayo yapo hivi.

Wanyakyusa wakyela ni wakarimu,wasafi kupitiliza,suala ni kwamba wanyakyusa wengi ni waongeaji ila wakyela ni kama wazaramo na hii inatokana na mazingira yao,kyela ni kama pwani aliefika pale anajua.wapo too proud of themselves na ofcoz wanajeuri lakini si ya kumdhuru MTU.

Watukuyu hawatofautiani sana na wakyela kama jeuri wanyakyusa wote wanayo ila ni wakarimu sanaaa.


Hakuna mji umekaa vizuri kama mbeya ,mbeya huwezi kufa njaa.

Alosema mbeya wanaiga chuga uhiphop ngoja nikusahihishe,mbeya INA nature ya uhiphop kitambo unaweza fatilia history hata ya wasanii wengi walosoma na kukaa hapa.baridi flan LA mbeya na life style ya kigansta inafanya mbeya iwe kama chuga na ndiomana wambeya wengi hupenda chuga na chuga wanapapenda mbeya.


Mbeya huwezi survive bila akili sababu vyakula vingi mno lakini haso ya kuishika pesa usiombe yaani.



Kuna mzuuuri mengi sana kuhusu mbeya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kweli wanaume wa mbeya ni wastaarabu ila dada zao ni shidaaa wana Yale mambo ya (matrianier) wanawake ndo wanasautiiii
 
Pia kwa kuongezea hapo ,vijana was mbeya na waliokulia mbeya asilimia kubwa wamewahi kuokoka kwenye mikutano ya injili, labda hawa wa miaka ya karibuni lakini hapo nyuma lazima maana ile mikutano ilikua ni balaaa

Nadhani hiyo ndiyo inatufanya tuwe wastaarabu kwakua tunahofu ya Mungu,

Ndagha lelo bhakukaja,



Hili linafanya nishindwe kutofautisha kati ya uwingi wa makanisa na uwingi wa mambo ya ajabu yatokeayo katika mkoa huo.
 
  • Thanks
Reactions: bbc
Mfano Ray vanny ni kijana wa kuigwa kulingana na mafanikio yake lakini very humble hata ukimuangalia na Izo bnes mtakubaliana na mimi. Msinitukane plz ni maoni yangu tuu.
Don't generalize things
 
Mfano Ray vanny ni kijana wa kuigwa kulingana na mafanikio yake lakini very humble hata ukimuangalia na Izo bnes mtakubaliana na mimi. Msinitukane plz ni maoni yangu tuu.
Aisee!!
 
Kuna watu wanatoa povu humu looh [emoji23][emoji23][emoji23] pambaneni na mikoa yenu
 
Back
Top Bottom