Vijana wa Leeds United waichapa Chelsea 3-0 kama wamesimama

Vijana wa Leeds United waichapa Chelsea 3-0 kama wamesimama

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Leeds United imeendelea kuwa na mwanzo mzuri wa msimu baada ya kufanikiwa kupata ushindi magoli 3-0 dhidi ya #Chelsea kwenye Uwanja wa Elland Road, leo Agosti 21, 2022.

Wafungaji wa #LeedsUnited katika mchezo huo ni Brenden Aaronson, Rodrigo Moreno na Jack Harrison, pia haikuwa siku nzuri kwa beki wa kati wa Chelsea, Kalidou Koulibaly ambaye alitolewa kwa kadi nyekundu katika dakika ya 85.

Aidha, katika mchezo mwingine wa Premier, West Ham United ikiwa nyumbani imepoteza kwa magoli 2-0 dhidi ya Brighton & Hove Albion.
 
Hahahaha ze bluuzi pakti ya dume imeisha tuwaongeze pakti nyingine
 
Bora aise sio kila siku wanazomewa mashabiki wa jezi nyekundu Tu.
 
Back
Top Bottom