Vijana wa miaka 20-29 tukutane hapa

Vijana wenzangu grease tunaipataje aisee....

Maana huku kitaani sipaelewi...
 
Niwashauri jambo moja vijana najua hamna ajra kwa sasa Tafuta elfu hamsin weka kwenye ac yako ya sport pesa anza kubet kwa siku unatandika mikeka yako 20 ya elfu mbili mbili then unakaa kusubr wapi pataitika
 
wew unayo kwan ajira?
 
Kwenye mitandao humu huwa kuna maada nzur tuu na mijadala mizur lkn huishia humu humu mitamdaoni hebu tubadilike tukutane tuongeee tutafute suluhu....
Eeeh![emoji30][emoji30]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…