Vijana wa miaka 20-29 tukutane hapa

Si vibaya Bibi akiwasikiliza wajukuu zake.
Niko hapa Bibi yenu.!!
 
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Sijasoma ulichoandika ila nimepita tu kuuliza na wewe upo kundi hili?
 
kizazi cha ukomboz wa taifa
Kizazi hiki
1.mashoga wameongezeka
2.vilaza wengi....hadi mmeshushiwa grades
3.kulialia tu
4.hata JF imekuwa hovyo kwadababu ya kundi kubwa ni kizazi hiki
5.kizazi cha mihemko(hii ni sababu ya umri)
6.ujuaji mwingi,nidhamu sifuri

Lakini sio kosa lenu, mmekuwa kipindi kigumu na chenye changamoto.
 
Dhumuni na lengo la kutaka vijana wa miaka 20 mpaka 29 tukutane hapa ni kutokana sisi vijana tuna mawazo tofauti na pia hatupishani sana kwenye mambo binafsi kwahiyo inaweza kuwa vyema tukikutana hapa tukibadilishana mawazo na kufurahi kwa pamoja.
Mkuu, kuna grades za watu kwenye psychological classifications depending on various scholars' thoughts,,,
Mfano talented na gifted sasa naomba kukuweka kwenye gifted people.

Namanisha unaakili sana, kwasababu nivijana wachache wajuao kujiongeza kimawazo ya kujenga, wengi wa vijana kuanzia miaka 20's wanawaza mapenzi zaid

Naomba ni kazie na ni wasihi vijana tulio katika levels mbalimbali tujifunze kujitengenezea fursa,

kwangu mim binafsi huwa siamin katika upewaji elimu kuhusu ujasiliamali, kwahyo kama ni swala la fursa kwanza tujifunze kujitengenezea fursa wenyewe kupitia hela ndogondogo
tujifunze kutunza au kuwekeza kidogo kidogo, tusitarajie kuwekeza kwa kuanzia kwenye kiwango cha pesa kilicho kikubwa, kwanza yatupasa kujua pesa huwaga ina sifa ya kutotosha hivyo tukisubiria ela itoshe, tutashindwa kufikia malengo yaliyo kusudiwa,

Nihayo2 jaman
 
Kuna Cancer kwenye Taifa hili inayoitwa; Megadumpism of Youth Policies. Ukilijua hili naweza kuendelea kuwa hapa
 
nilijua umetuita vijana wenzio ili utupe girisii..
ila sio basi kesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…