OK, acha niweke hoja fikilishi!
Miaka ya nyuma wakati tunakua (sisi wa 20-29 years), kizazi kilichokua kimetutangulia (kaka zetu na Dada zetu) walikua bright sana!
Walikua ni watu wa kujiongeza na kutafuta fursa. Hawakukaa bure. Walijishughulisha na ujasiriamali kuanzia bustani za mboga mboga, ufugaji na miradi mingine!
Je, hiki kizazi chetu kimekwama wapi?
I bet asilimia 85 ya vijana wa miaka 20 mpaka 25 bado ni tegemezi.
Hata humu JF, hiki kizazi ndio kinaongoza kwa kupost pumba na hoja za kijinga. Hiki kizazi ndio kimetawala jukwaa la MMU na kila mada lazima ihusishe papuchi (japo sio kosa).
Tufanye nini ili tukivushe hiki kizazi?