Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vijana nguvu ya taifa lakini mnalala
Mnaruhusiwa kulala mwili ila sio akiliKwaiyo haturuhusiwi kulala mkuu?
Ziachie wewMe nazunguka zunguka kule mtaa wa tatu...
Kumbe Vijana wenzangu wapo hapa....
Haya sasa shusheni nondo hizo tu take a note [emoji404]
Taifa La kesho utakua mzee wewe ni taifa LA sasa kwa kuwa una nguvu. AsanteVijana ndio taifa la kesho
tupia picha neyluSi vibaya Bibi akiwasikiliza wajukuu zake.
Niko hapa Bibi yenu.!!
tupia picha neylu
nimekupenda bibiMjukuu wangu unaitakia nini picha ya Bibi yako?
nimekupenda bibi
nitumie nauli nipo hapa gairoKaribu sana Tandahimba mjukuu wangu.
Khaaaaaa.... Wajukuu mna mambo nyie...Yaaani huoni haya kumuomba Bibi nauli?? Hayaaa...Subiri nikiuza korosho nitakutumia nauli.nitumie nauli nipo hapa gairo