Vijana wa miaka 20s wako CitizenTV muda huu wakijadili masuala yanayohusu nchi yao, na wanafanya hivyo kwa weledi mkubwa sana.
Vijana wa miaka 20s wa Tanzania hawajui chochote na wala hawaelewi chochote kuhusu mambo ya siasa na mustakabali wa nchi yao.
Ukimuuliza kijana wa miaka 20s juu ya mahusiano ya siasa na maisha yake utaona anaanza kuelezea makalio ya Poshi Queen, kitovu cha Yammy, na maisha ya wasanii wengine.
Vijana wa Tanzania wako bize kufuatilia Simba na Yanga, "connection", madanga, uchawa na ujinga mwingine.
Hakuna walichofanya hao zaid ya kukesha vijiwe vya kahawa ,saiv washukuru bdo wazima wanaona maendeleoSawa mlikuwa na akili Haya mmefanya nini? Onesha/elezea mlichokifamya
Vinakaa ofisini vinakula rushwa afu vinataka cc tukaandamaneKumbe humu mmejazana wazee wa hovyo, ni ujuha kutupia lawama zote kwa rika moja wakati mfumo umeshikwa na wazee wa hovyo,
Nenda Kenya au mwambie kijana wako aanzishe maandamanoWakenya wanawazidi vitu vingi wala msijilinganishe nyie endeleeni na stori za tema mate iteleeze pangoni, inama inama ichonekwe( ushoga) na connections bila kusahau kubeti, simba na yanga basi. You can not think beyond here.
Itoshe kusem kwamba vijan wa tz wapo sahih ila wazee na watu wazima ni useless katika maendeleo ya nchiHakuna walichofanya hao zaid ya kukesha vijiwe vya kahawa ,saiv washukuru bdo wazima wanaona maendeleo
Upo sahihi kabisaaa ...tuna wazee wa ovyooo kazi kutembea na wanafunzi na gombea vibinti na vijanaItoshe kusem kwamba vijan wa tz wapo sahih ila wazee na watu wazima ni useless katika maendeleo ya nchi
Ubora wa, nchi una tegemea ubora wa wananchi wake, hapa kwetu tuna wajinga wengi, na tunawasomi wajinga,
Vijana wa miaka 20s wako CitizenTV muda huu wakijadili masuala yanayohusu nchi yao, na wanafanya hivyo kwa weledi mkubwa sana.
Vijana wa miaka 20s wa Tanzania hawajui chochote na wala hawaelewi chochote kuhusu mambo ya siasa na mustakabali wa nchi yao.
Ukimuuliza kijana wa miaka 20s juu ya mahusiano ya siasa na maisha yake utaona anaanza kuelezea makalio ya Poshi Queen, kitovu cha Yammy, na maisha ya wasanii wengine.
Vijana wa Tanzania wako bize kufuatilia Simba na Yanga, "connection", madanga, uchawa na ujinga mwingine.
Hiv wakati wakati wa kenya wanapambana kupata katiba mpya,Wakenya wanawazidi vitu vingi wala msijilinganishe nyie endeleeni na stori za tema mate iteleeze pangoni, inama inama ichonekwe( ushoga) na connections bila kusahau kubeti, simba na yanga basi. You can not think beyond here.
Wapeni nafasi Sasa, uone kama hawatajadili kuhusu Taifa lao.
Vijana wa miaka 20s wako CitizenTV muda huu wakijadili masuala yanayohusu nchi yao, na wanafanya hivyo kwa weledi mkubwa sana.
Vijana wa miaka 20s wa Tanzania hawajui chochote na wala hawaelewi chochote kuhusu mambo ya siasa na mustakabali wa nchi yao.
Ukimuuliza kijana wa miaka 20s juu ya mahusiano ya siasa na maisha yake utaona anaanza kuelezea makalio ya Poshi Queen, kitovu cha Yammy, na maisha ya wasanii wengine.
Vijana wa Tanzania wako bize kufuatilia Simba na Yanga, "connection", madanga, uchawa na ujinga mwingine.
Waambie hao.....Kumbe humu mmejazana wazee wa hovyo, ni ujuha kutupia lawama zote kwa rika moja wakati mfumo umeshikwa na wazee wa hovyo,
Yani wao wamejibanza nyuma ya keyboard halafu vijana wakaandamane, wajinga kweliWaambie hao.....
Wanalaumu na kuwakashifu vijana bure tu....Kumbe mfumo ulishaoza toka kitambo na vijana ni wahanga wa huo uozo.
Kwanza wanaoongoza kwa uchawa ni sio gen z ni hawa hawa kaka na dada zao gen x sijui y,Wapeni nafasi Sasa, uone kama hawatajadili kuhusu Taifa lao.
Tatizo mnawabania Kila sehemu halafu mnaanza kuwatupia lawama na kuwadhalilisha.
Watz wapo tiktok kupush nyimbo
Vijana wa miaka 20s wako CitizenTV muda huu wakijadili masuala yanayohusu nchi yao, na wanafanya hivyo kwa weledi mkubwa sana.
Vijana wa miaka 20s wa Tanzania hawajui chochote na wala hawaelewi chochote kuhusu mambo ya siasa na mustakabali wa nchi yao.
Ukimuuliza kijana wa miaka 20s juu ya mahusiano ya siasa na maisha yake utaona anaanza kuelezea makalio ya Poshi Queen, kitovu cha Yammy, na maisha ya wasanii wengine.
Vijana wa Tanzania wako bize kufuatilia Simba na Yanga, "connection", madanga, uchawa na ujinga mwingine.
Vijana wa Tanzania wako busy na kupumliwa.

Wewe ukiwa na miaka 20 ulifanya nini kwa ajili ya nchi yako? Au nyie mnaowaponda vijana hamkupita kwenye ujana? Hawa vijana wa miaka 20 walijizaa wenyewe? Huwa nashangaa sana watu kuiona Kenya kama nchi fulani hivi ya ahadi wakati ni nchi iliyojaa ukabila na kuchukiana. Pia sera zao za kibepari zimesababisha uchumi wao wote kumilikiwa na familia chache. Kenya walishajivuruga tangu wanapata uhuru. Acheni upumbavu wa kujidharau mbele ya Kenya.Bongo wanashindana kupiga comedy. Upuuzi mtupu