Vijana wa miaka 20 Kenya wanajadili mustakabali wa nchi yao kwa weledi mkubwa sana. Vijana wa Tanzania wanakwama wapi?

Vijana wa miaka 20s wako CitizenTV muda huu wakijadili masuala yanayohusu nchi yao, na wanafanya hivyo kwa weledi mkubwa sana.

Vijana wa miaka 20s wa Tanzania hawajui chochote na wala hawaelewi chochote kuhusu mambo ya siasa na mustakabali wa nchi yao.

Ukimuuliza kijana wa miaka 20s juu ya mahusiano ya siasa na maisha yake utaona anaanza kuelezea makalio ya Poshi Queen, kitovu cha Yammy, na maisha ya wasanii wengine.

Vijana wa Tanzania wako bize kufuatilia Simba na Yanga, "connection", madanga, uchawa na ujinga mwingine.
65f8b47b-098e-4b97-bbdd-4eb8bcf77cbf.jpeg
 
Wakenya wanawazidi vitu vingi wala msijilinganishe nyie endeleeni na stori za tema mate iteleeze pangoni, inama inama ichonekwe( ushoga) na connections bila kusahau kubeti, simba na yanga basi. You can not think beyond here.
Nenda Kenya au mwambie kijana wako aanzishe maandamano
 
Vijana wa miaka 20s wako CitizenTV muda huu wakijadili masuala yanayohusu nchi yao, na wanafanya hivyo kwa weledi mkubwa sana.

Vijana wa miaka 20s wa Tanzania hawajui chochote na wala hawaelewi chochote kuhusu mambo ya siasa na mustakabali wa nchi yao.

Ukimuuliza kijana wa miaka 20s juu ya mahusiano ya siasa na maisha yake utaona anaanza kuelezea makalio ya Poshi Queen, kitovu cha Yammy, na maisha ya wasanii wengine.

Vijana wa Tanzania wako bize kufuatilia Simba na Yanga, "connection", madanga, uchawa na ujinga mwingine.
Ubora wa, nchi una tegemea ubora wa wananchi wake, hapa kwetu tuna wajinga wengi, na tunawasomi wajinga,
 
Wakenya wanawazidi vitu vingi wala msijilinganishe nyie endeleeni na stori za tema mate iteleeze pangoni, inama inama ichonekwe( ushoga) na connections bila kusahau kubeti, simba na yanga basi. You can not think beyond here.
Hiv wakati wakati wa kenya wanapambana kupata katiba mpya,
Kuitoa kanu madarakani, niny ndio mlikuwa mnateleza kama nyoka pangoni ?

Wazee wa Tz ni wa hovyo sanaaaa, vijana tunarithi nchi yenye uozo kila mahali kwa sababu ya upuuzi wenu wazee
 
Vijana wa kitanzania wako vizuri kujadili tu namna wanavyokula tunda kimasihara na kumsifia Hangaya jinsi anavyoupiga mpira mwingi wa Simba na Yanga....Takbir! 🤔🧐
 
Vijana wa miaka 20s wako CitizenTV muda huu wakijadili masuala yanayohusu nchi yao, na wanafanya hivyo kwa weledi mkubwa sana.

Vijana wa miaka 20s wa Tanzania hawajui chochote na wala hawaelewi chochote kuhusu mambo ya siasa na mustakabali wa nchi yao.

Ukimuuliza kijana wa miaka 20s juu ya mahusiano ya siasa na maisha yake utaona anaanza kuelezea makalio ya Poshi Queen, kitovu cha Yammy, na maisha ya wasanii wengine.

Vijana wa Tanzania wako bize kufuatilia Simba na Yanga, "connection", madanga, uchawa na ujinga mwingine.
Wapeni nafasi Sasa, uone kama hawatajadili kuhusu Taifa lao.

Tatizo mnawabania Kila sehemu halafu mnaanza kuwatupia lawama na kuwadhalilisha.
 
Kumbe humu mmejazana wazee wa hovyo, ni ujuha kutupia lawama zote kwa rika moja wakati mfumo umeshikwa na wazee wa hovyo,
Waambie hao.....

Wanalaumu na kuwakashifu vijana bure tu....Kumbe mfumo ulishaoza toka kitambo na vijana ni wahanga wa huo uozo.
 
Wapeni nafasi Sasa, uone kama hawatajadili kuhusu Taifa lao.

Tatizo mnawabania Kila sehemu halafu mnaanza kuwatupia lawama na kuwadhalilisha.
Kwanza wanaoongoza kwa uchawa ni sio gen z ni hawa hawa kaka na dada zao gen x sijui y,

huwezi laumu vijana wakati wazazi wao wenyewe mapunguani kazi kujikomba komba tu
 
Vijana wa miaka 20s wako CitizenTV muda huu wakijadili masuala yanayohusu nchi yao, na wanafanya hivyo kwa weledi mkubwa sana.

Vijana wa miaka 20s wa Tanzania hawajui chochote na wala hawaelewi chochote kuhusu mambo ya siasa na mustakabali wa nchi yao.

Ukimuuliza kijana wa miaka 20s juu ya mahusiano ya siasa na maisha yake utaona anaanza kuelezea makalio ya Poshi Queen, kitovu cha Yammy, na maisha ya wasanii wengine.

Vijana wa Tanzania wako bize kufuatilia Simba na Yanga, "connection", madanga, uchawa na ujinga mwingine.
Watz wapo tiktok kupush nyimbo
 
Vijana wa Tanzania wako busy na kupumliwa.
 
Mkuu vileo vimeletetwa ili kusaidia ubongo mkuu wewe hiko kitovu cha Yammy mtoto mbichi yule umekiona wapi au majungu tusimpigie puchu.
 
Bongo wanashindana kupiga comedy. Upuuzi mtupu
Wewe ukiwa na miaka 20 ulifanya nini kwa ajili ya nchi yako? Au nyie mnaowaponda vijana hamkupita kwenye ujana? Hawa vijana wa miaka 20 walijizaa wenyewe? Huwa nashangaa sana watu kuiona Kenya kama nchi fulani hivi ya ahadi wakati ni nchi iliyojaa ukabila na kuchukiana. Pia sera zao za kibepari zimesababisha uchumi wao wote kumilikiwa na familia chache. Kenya walishajivuruga tangu wanapata uhuru. Acheni upumbavu wa kujidharau mbele ya Kenya.
 
Back
Top Bottom