Teko Modise JF-Expert Member Joined May 20, 2017 Posts 2,331 Reaction score 7,733 Oct 2, 2024 #1 Vijanaa wengi waliozaliwa mwaka 1990 bado wanajiona ni watoto. Nawakumbusha kwasasa mna miaka 35 kasoro, umri ndio huo maji ya jioni. Toka maghetoni, toka kwenu nenda katafute maisha, wakati ni sasa.
Vijanaa wengi waliozaliwa mwaka 1990 bado wanajiona ni watoto. Nawakumbusha kwasasa mna miaka 35 kasoro, umri ndio huo maji ya jioni. Toka maghetoni, toka kwenu nenda katafute maisha, wakati ni sasa.
grand millenial JF-Expert Member Joined Jul 29, 2018 Posts 3,943 Reaction score 5,550 Oct 2, 2024 #2 Ngoja raisi wetu aje atuongelee bana 😅😅 Attachments 6afa280e3076918e7b7047bbd04f9c6a.mp4 1.1 MB
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 94,296 Reaction score 122,540 Oct 2, 2024 #3 Hii fixation na umri wa watu inatokana na nini?
MENEMENE TEKERI NA PERESI JF-Expert Member Joined Mar 11, 2022 Posts 5,392 Reaction score 14,646 Oct 2, 2024 #4 Ulivyowatimua magetoni eti waende wakatufute pesa wataweza na uzee huo kweli ? Niko na limoja hapa naagiza ulanzi linanitolea mijicho ili nilinunulie pia
Ulivyowatimua magetoni eti waende wakatufute pesa wataweza na uzee huo kweli ? Niko na limoja hapa naagiza ulanzi linanitolea mijicho ili nilinunulie pia
A Attack JF-Expert Member Joined Jun 29, 2022 Posts 894 Reaction score 1,608 Oct 2, 2024 #5 Life Teko Modise said: Vijanaa wengi waliozaliwa mwaka 1990 bado wanajiona ni watoto. Nawakumbusha kwasasa mna miaka 35 kasoro, umri ndio huo maji ya jioni. Toka maghetoni, toka kwenu nenda katafute maisha, wakati ni sasa. Click to expand... Life begin at 40
Life Teko Modise said: Vijanaa wengi waliozaliwa mwaka 1990 bado wanajiona ni watoto. Nawakumbusha kwasasa mna miaka 35 kasoro, umri ndio huo maji ya jioni. Toka maghetoni, toka kwenu nenda katafute maisha, wakati ni sasa. Click to expand... Life begin at 40
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 Oct 2, 2024 #6 shingi mia
proton pump JF-Expert Member Joined Apr 30, 2017 Posts 6,814 Reaction score 10,104 Oct 2, 2024 #7 bado hujasema