Vijana wengi siku hizi wanashindwa kutofautisha kati ya huduma na malezi,
Huduma na malezi kwa mtoto wako ni vitu viwili tofauti kabisa,
Ukijikita tu kwenye kutoa huduma ukasahau malezi,ndio ile mtoto akisha kua mkubwa,anakua hana mapenzi na Baba kivile coz unakua hukutengeneza ile emotion connection au bond,kati yake na wewe Baba yake.