Masi Lambo
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 532
- 360
Ukiambiwa Dr Salim Ahmed Salim aliteuliwa balozi nchini Misri akiwa na miaka 22 halafu ukalinganisha na vijana wetu wa leo wenye elimu na umri huo utaona km vile tunarudi nyuma badala kwenda mbele.
Na ukiambiwa miaka ya 70 hadi 90 nchi yetu ilikuwa na vyama vya ushirika kila mko vyenye nguvu kabisa vya kuweza kununua mazao ya wakulima bila matatizo halafu ukalinganisha na Sacco's za sasa hivi za wasomi utaona tunarudi nyuma badala ya kwenda mbele.
Ukiambiwa zamani nchi yetu bila wasomi ilikuwa na viwanda Mutex mwatex kiltex urafiki nk na mashirika ya umma yenye mafanikio makubwa sana lkn baada wasomi kuyaongoza ndo yamefilisika kabisa lazima utakuwa na mashaka na elimu za vijana wetu.