Vijana wa sasa hawana busara na maadili mema, hawajieshimu, hawaoni ukweli na hawajui historia yetu

Ukitoa marekani Tz ni nchi isiyo na tamaduni wala maadili, matunda yake tutayaona
 
Haya masuala ni mazito sana
 
haijalishi una busara kiasi gani yaani pasipo connection utaishia kuwa mshauri wa familia.
 
Kwako nin maana ya msomi?
Je una ushahidi gani kuwa wasomi wamechangia pakubwa kufeli kwa hayo uliyozungumza?
Taja shirika/chama kilichofanikiwa miaka hiyo na majina ya viongozi wake pamoja na elimu zao ili kuthibitisha hayo uliyoyasema.

Mwisho nakushauri mshale wako ulipouelekeza umekosea shabaha,huwezi kumlaumu mtoto kwanini amezaliwa nje ya ndoa wakati yeye ni matokeo ya zinaa ya wazazi.
@Asiyejua maana haambiwi maana
 
Majibu yote yapo kwenye thread, soma vizuri kwa uelewa.
 
Na kiuhalisia, hata hana shida nayo. Mazingira yanawekwa ili aliyeko sasa naye aporomoshe lake na akihojiwa aseme na waliomtangulia pia wamepewa.
 
Ukitoa marekani Tz ni nchi isiyo na tamaduni wala maadili, matunda yake tutayaona
Marekani inahusika kivipi?

Alafu marekani kufananisha na sisi ni sawasawa kumfananisha tembo na ndama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…