RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,788
- 4,401
Kijana amkeni nchi inamalizwa na wazee tangu nimefuatilia siasa hao wazee naona wanastaafu na kurudi kazini chukulia mtu kama kinana, omben seifue n.k. hao ni baadhi tu nimewataja na nimewataja siyo kwamba na kinyongo nao Ila hiyo Hali halisi navyoona.
Kijana kama Lucas mwashamba anapambana usiku na mchana kusifia viongozi lengo tu akumbukwe kwenye teuzi hii kitu inafikrisha Sana badala ya kupigania mifumo imara ya katiba na SHERIA yeye yupo kusifia tu huku yeye wamempa kisogo!
Huyo kijana wa umoja wa vijana anayeitwa WAKAWAIDA jina lake linasadiki mambo mengi kuchukulia kawaida hivi mtu ametekwa na kufanywa kilema tena na vyombo vinavyomlinda raisi leo imetolewa milion 35 anakuja kusifia hivi hajui mtu akishaharibu mirungi chako thamani yako inaisha.
Vijana wa kitanzania tuamke kwa umoja hakuna kiongozi wa juu ndani ya serikali aliyewahi kustaafu na hao Ndio hawajali maisha ya watu maana wanajiona wameshajimilikisha nchi.
Sheria kama hizi wanazotunga bungeni kama raisi makamu spika na waziri mkuu kulipwa malupulupu na mafao kwa wenza wao mnaona NI Sawa hivi Tanzania tumerogwa na nani , pia mjue pamoja na kustaafu bado utawaona wakiteuana kwenye board mbalimbali wengine kuwa wabunge mfano mama kikwete nyie mnaona!!! na huyo anahitaji apate mafao ya kumtunza mmewe halafu mnakuja mnaambiwa nchi hii maskini wakati kuna kikundi kinaitafuna nchi.
Vijana wakitanzania ccm mjue haina jema kwenye nchi hii mifumo wanaoijenga viungozi wa juu kuandaa watoto wao kuendelea kutawala watu wa Hali ya chini:
Ndugu zangu namalizia kusema chama hakina shida shida NI viongozi waliomo wanamoyogani kuisadia nchi, vijana amkeni kusifia serikali huku inakunyonya Kila mahali lazima ujitafakari!