Vijana wa Tanzania tuamke; nchi inatafunwa na wazee na watoto wao nyie mnabaki kusifia

Vijana wa Tanzania tuamke; nchi inatafunwa na wazee na watoto wao nyie mnabaki kusifia

RWANDES

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,788
Reaction score
4,401
Kijana amkeni nchi inamalizwa na wazee tangu nimefuatilia siasa hao wazee naona wanastaafu na kurudi kazini chukulia mtu kama kinana, omben seifue n.k. hao ni baadhi tu nimewataja na nimewataja siyo kwamba na kinyongo nao Ila hiyo Hali halisi navyoona.

Kijana kama Lucas mwashamba anapambana usiku na mchana kusifia viongozi lengo tu akumbukwe kwenye teuzi hii kitu inafikrisha Sana badala ya kupigania mifumo imara ya katiba na SHERIA yeye yupo kusifia tu huku yeye wamempa kisogo!

Huyo kijana wa umoja wa vijana anayeitwa WAKAWAIDA jina lake linasadiki mambo mengi kuchukulia kawaida hivi mtu ametekwa na kufanywa kilema tena na vyombo vinavyomlinda raisi leo imetolewa milion 35 anakuja kusifia hivi hajui mtu akishaharibu mirungi chako thamani yako inaisha.

Vijana wa kitanzania tuamke kwa umoja hakuna kiongozi wa juu ndani ya serikali aliyewahi kustaafu na hao Ndio hawajali maisha ya watu maana wanajiona wameshajimilikisha nchi.

Sheria kama hizi wanazotunga bungeni kama raisi makamu spika na waziri mkuu kulipwa malupulupu na mafao kwa wenza wao mnaona NI Sawa hivi Tanzania tumerogwa na nani , pia mjue pamoja na kustaafu bado utawaona wakiteuana kwenye board mbalimbali wengine kuwa wabunge mfano mama kikwete nyie mnaona!!! na huyo anahitaji apate mafao ya kumtunza mmewe halafu mnakuja mnaambiwa nchi hii maskini wakati kuna kikundi kinaitafuna nchi.

Vijana wakitanzania ccm mjue haina jema kwenye nchi hii mifumo wanaoijenga viungozi wa juu kuandaa watoto wao kuendelea kutawala watu wa Hali ya chini:

Ndugu zangu namalizia kusema chama hakina shida shida NI viongozi waliomo wanamoyogani kuisadia nchi, vijana amkeni kusifia serikali huku inakunyonya Kila mahali lazima ujitafakari!
 
Huwa nashangaa vijana kama kina lukasi kutwa wanashinda kutetea waliokwisha neemeka. Ukiwachalenji wanajaa hasira na kusema wao walikunywa maji ya bendera hivyo kujiita wazalendo huku wenzao wakila nchi
 
Tanzania kiujumla kuna tatizo kubwa ! Kenya wameweza Sisi tunashindwa nini. Unamaliza chuo huna ajira unaenda kupanga nyanya gengeni unabaki kulipa ushuru na Kodi lukuki unafanywa mjinga unaanza kusifia viongozi wa serikali huku wao wakiteuana hata wakistaafu wewe upo Tu unasifia.

Jiulize hao waliostaafu NI lini mmeona wakipigania katiba Irekebishwe Zaidi ya mzee warioba. Mjue wenza wawastaafu wanalipwa na hata wastaafu wenyewe wanalipwa mamilion ya pesa na hakuna anayejali mnapandikizwa nchi hii NI maskini kumbe umaskini umetengenezwa na viongozi wenyewe.

Ukiangalia kwa sasa serikali ya sasa imejikita kwenye matumizi hakuna inachozalisha na baadhi ya miradi ipo hoi SGR lot 5 amini nawaambia mkiona huo mradi unaisha labda baada ya miaka 30 tena hadi tutakapopata wakuthubutu! Hii serikali ni aibu tu kukuta miradi imeshaanzishwa zaidi ya hapo ingekuwa porojo Tu hakuna ambacho kingefanyika.
 
Siasa ni wito kwetu asilimia kubwa njaa, wachache waliobaki ndio wenye uwezo wa kujenga. Uhitaji maelezo njaa imetamalaki kwenye siasa zetu kwakuangalia vioja vya bunge letu.

Vijana tujikite kwenye kutumia fursa za uzalishaji na kupambania fursa zilizopo bado ni nyingi. Muhimu ni kuona kuna sera sahihi za kutumia hizo fursa.

Catch 22 hizo fursa nazo aziwezi letwa na mapoyoyo yaliyopewa hizo nafasi za wizara kushawishi vijana kuingia kwenye uzalishaji.

Vinginevyo uzalishaji unalipa kuliko siasa kama nchi itapata viongozi sahihi wa kukuza hiyo sector, lakini sio haya mapoyoyo yananayowaza kukamua tozo tu kama njia rahisi.

Hawana akili za kukuza uzalishaji na kukusanya kodi za biashara kutokana na uzalishaji wa ndani.

Nchi aichomoki hapo na hayo mapoyoyo yaliyopewa nafasi za uwaziri wana wengi hawana uwezo; ndio ukweli wenyewe.

Kuna wasaa ukisikiliza uwezo mdogo wa mawaziri wetu unajiuliza hivi uwa wanaongeaga nini na wazungu kwenye mambo serious ambayo wanatakiwa kudadavua kwa uwezo wao mdogo ukiwasikiliza.
 
Naomba niseme kwa ufupi tu kuwa mimi ni msema kweli na mzalendo wakweli na dhati kwa Taifa langu. Vijana wa Tanzania wanatambua kazi nzuri na njema inayofanywa na Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan katika kulipeleka mbele Taifa kimaendeleo na kuwainua kiuchumi wananchi.ndio maana unaona vijana wametulia na kumuunga mkono Rais kwa kuendelea kuchapa kazi ,kwa kuwa wanaona matumaini ya kutimizwa na kufikiwa kwa ndoto zao kila uchwao.
 
Mpaka hapo utakapo jua kwamba ajira kwa namna yoyote ile, ni utumwa uliochangamka, utapiga mishe zako na kuwaacha hao vipofu wawaongoze vipofu wenzao
 
Kijana amkeni nchi inamalizwa na wazee tangu nikefuatilia siasa hao wazee naona wanastaafu na kurudi kazini chukulia mtu kama kinana, omben seifue n.k. hao NI baadhi tu nimewataja na nimewataja siyo kwamba na kinyongo nao Ila hiyo Hali halisi navyoona.

Kijana kama Lucas mwashamba anapambana usiku na mchana kusifia viongozi lengo Tu akumbukwe kwenye teuzi hii kitu inafikrisha Sana badala ya kupigania mifumo imara ya katiba na SHERIA yeye yupo kusifia Tu huku yeye wamempa kisogo!
Huyo kijana wa umoja wa vijana anayeitwa WAKAWAIDA jina lake linasadiki mambo mengi kuchukulia kawaida hivi mtu ametekwa na kufanywa kilema tena na vyombo vinavyomlinda raisi Leo imetolewa milion 35 anakuja kusifia hivi hajui mtu akishaharibu mirungi chako thamani yako inaisha.

Vijana wa kitanzania tuamke kwa umoja hakuna kiongozi wa juu ndani ya serikali aliyewahi kustaafu na hao Ndio hawajali maisha ya watu maana wanajiona wameshajimilikisha nchi.
- sSheria kama hizi wanazotunga bungeni kama raisi makamu spika na waziri mkuu kulipwa malupulupu na mafao kwa wenza wao mnaona NI Sawa hivi Tanzania tumerogwa na nani , pia mjue pamoja na kustaafu bado utawaona wakiteuana kwenye board mbalimbali wengine kuwa wabunge mfano mama kikwete nyie mnaona!!! na huyo anahitaji apate mafao ya kumtunza mmewe halafu mnakuja mnaambiwa nchi hii maskini wakati kuna kikundi kinaitafuna nchi.

Vijana wakitanzania ccm mjue haina jema kwenye nchi hii mifumo wanaoijenga viungozi wa juu kuandaa watoto wao kuendelea kutawala watu wa Hali ya chini:

Ndugu zangu namalizia kusema chama hakina shida shida NI viongozi waliomo wanamoyogani kuisadia nchi, vijana amkeni kusifia serikali huku inakunyonya Kila mahali lazima ujitafakari!
CCM ina shida na ndio kiongozi mkuu wa shida na umaskini wa watu lazima CCM iondoke kwanza.
 
Back
Top Bottom