Vijana wa vyuoni, mjifunza na mjichanganye na bodaboda, mama ntilie, kinyozi, dalali, wafugaji, n.k. Just in case ! nanyi walezi na wazazi muwasihi.

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Maisha yamebadilika sio tena kama enzi zetu ukimaliza degree ajira unachagua.

Kwa hapa tulipo nazidi kujionea vijana wengi sana wanamaliza vyuo wakiwa vijana wadogo wenye 23 hadi 25 lakini wanakuja kujipata wakiwa 30s, hapo kati stress zinawatafuna na kwa kiasi kikubwa ni matokeo ya zile ndoto za "nina vyeti ntapata ajira".

Kijana inabidi ufikirie mbali zaidi, Ajira za kitaaluma za vyuoni zipo chache, na katika hizo chache kuna connections, rushwa, n.k.

Unapokuwa chuoni kwenye likizo, muda wa kupumzika, weekends, n.k. jaribu sana uanze kupata uzoefu wa shughuli walau ambazo huwezi lala njaa, zenye kuweza kukufanya uwe self dependent.

Jifunze + ujichanganye kupata ujuzi na bodaboda, bajaji, mama ntilie, wasusi, wakulima, walimu wa tushen, vinyozi, madalali, n.k.

Hii inakufanya uwe makini pia kwenye kusevu hela za boom, pocket money na vihela unavyopata kwenye hizo mishe ukiwa na lengo la kuanza kujiajiri baada ya chuo, tayari akili unakuwa umei tune kwamba utakuwa self dependent ukimaliza chuo.

Unapoga mishe zako huku unaendelea kuomba ajira tena ukiwa tayari self dependent, ni bora zaidi.

Ukiongeza na ubunifu wako wa elimu uliyonayo unaweza kupata kipato kikubwa zaidi kufanya mambo makubwa zaidi kiasi ukasahau ajira ukawaachia hizo nafasi wenye uhitaji zaidi.
 
Ukosefu wa Ajira

Mahitaji ya soko la ajira hayalingani na idadi ya wahitimu kutoka vyuo vya elimu ya juu. Kuna uhaba wa ajira rasmi, na vijana wanakumbana na ugumu wa kupata kazi zinazowafaa.Hali hii husababisha kiwango cha juu cha ukosefu wa ajira na kuongezeka kwa mtaa wa vijana katika shughuli zisizo rasmi.

Masoko ya kazi na sekta nyingi hazijakomaa vya kutosha ili kuajiri na kutumia vizuri vijana wenye ujuzi. Sectors kama teknolojia, viwanda, na huduma zinaweza kuwa ndogo au hazijapanuka vya kutosha.
Vijana wanaweza kushindwa kupata nafasi za kazi zinazowafaa na kulazimika kukubali kazi za chini kuliko walivyostahili.
 
Maisha yamebadilika sio tena kama enzi zetu ukimaliza degree ajira unachagua.

Kwa hapa tulipo nazidi kujionea vijana wengi sana wanamaliza vyuo wakiwa vijana wadogo wenye 23 hadi 25 lakini wanakuja kujipata wakiwa 30s, hapo kati stress zinawatafuna na kwa kiasi kikubwa ni matokeo ya zile ndoto za "nina vyeti ntapata ajira".

Kijana inabidi ufikirie mbali zaidi, Ajira za kitaaluma za vyuoni zipo chache, na katika hizo chache kuna connections, rushwa, n.k.

Unapokuwa chuoni kwenye likizo, muda wa kupumzika, weekends, n.k. jaribu sana uanze kupata uzoefu wa shughuli walau ambazo huwezi lala njaa, zenye kuweza kukufanya uwe self dependent.

Jifunze + ujichanganye kupata ujuzi na bodaboda, bajaji, mama ntilie, wasusi, wakulima, walimu wa tushen, vinyozi, madalali, n.k.

Hii inakufanya uwe makini pia kwenye kusevu hela za boom, pocket money na vihela unavyopata kwenye hizo mishe ukiwa na lengo la kuanza kujiajiri baada ya chuo, tayari akili unakuwa umei tune kwamba utakuwa self dependent ukimaliza chuo.

Unapoga mishe zako huku unaendelea kuomba ajira tena ukiwa tayari self dependent, ni bora zaidi.

Ukiongeza na ubunifu wako wa elimu uliyonayo unaweza kupata kipato kikubwa zaidi kufanya mambo makubwa zaidi kiasi ukasahau ajira ukawaachia hizo nafasi wenye uhitaji zaidi.
Vijana wengi siku hizi hawapendi kufanya ibada kwenda kanisani wanaona ni ushamba kumbe ndio wanapozidi kupotea maisha kwa sasa ni magumu bila nguvu ya Mungu haufiki popote nawaombea sana vijana wa Tanzania nguvu ya Mungu iwaguse wamrudie maana yeye ndie muweza kwake yeye hakuna jambo linalokosa jibu

Nawaombea vijana neema ya Bwana Yesu iwaguse waachane kusikiliza hizo nyimbo za bongo fleva wanazozipenda sana lakini hawajui hapo ndio nyota zao zinavyozidi kufifia
 
Wazazi nao wawaongoze watoto wao ili waendeleza miradi ya familia.mfano kama nyumbani ni wafugaji mtoto ajikite masomo ambayo yatajihusisha na ufugaji au kama nyumbani ni wachimbaji madini watoto wao wawaongoze kujikita zaidi na masomo ya madini ili wakimaliza tu chuo wanaenda kuboresha zaidi miradi Yao na kutengeneza ajira zaidi.Tuachane na ajira za serikalini za kujuana huyu ni mtoto wa kada wa ccm.
 
Vijana wengi siku hizi hawapendi kufanya ibada kwenda kanisani wanaona ni ushamba kumbe ndio wanapozidi kupotea maisha kwa sasa ni magumu bila nguvu ya Mungu haufiki popote nawaombea sana vijana wa Tanzania nguvu ya Mungu iwaguse wamrudie maana yeye ndie muweza kwake yeye hakuna jambo linalokosa jibu

Nawaombea vijana neema ya Bwana Yesu iwaguse waachane kusikiliza hizo nyimbo za bongo fleva wanazozipenda sana lakini hawajui hapo ndio nyota zao zinavyozidi kufifia
Huko kavisani kavisani ndiiko mnawageuza vijana mazezeta. Mnawafannyya chuma uletee.
 
Wasomi siwaoni kabisa kanisa nalosali Mimi kkkt nakutana na kina mama na kina dada wa mtaani
Wasomi huwa nawaona jioni jioni kwenye vibanda vya kuuza visungura

Mimi kwa mawazo yangu naamini msomi anafasi ya kufanya makubwa wahindi,wachina Hawa wote wanafanikiwa sana sababu wanafanya kazi na kufanya ibada
 
Mm nime graduate 2022. Na asilimia kubwa wa darassa letu tulikua tunajua kua ajira hakuna and we were just owkey with it.

Japo mm sijawai kukosa ajira since nimemaliza peper 😀

So hayo mnayo yaongea, vijana wabayajua(Ukiacha mademu) na wanajitahidi sana, basi tu kuna wakati dunia ni lazima ikuazibu
 
Vijana wengi siku hizi hawapendi kufanya ibada kwenda kanisani wanaona ni ushamba kumbe ndio wanapozidi kupotea maisha kwa sasa ni magumu bila nguvu ya Mungu haufiki popote nawaombea sana vijana wa Tanzania nguvu ya Mungu iwaguse wamrudie maana yeye ndie muweza kwake yeye hakuna jambo linalokosa jibu

Nawaombea vijana neema ya Bwana Yesu iwaguse waachane kusikiliza hizo nyimbo za bongo fleva wanazozipenda sana lakini hawajui hapo ndio nyota zao zinavyozidi kufifia
Umeongea point broo congrats
 
Amen 🙏
 
Back
Top Bottom