Vijana wa vyuoni, mjifunza na mjichanganye na bodaboda, mama ntilie, kinyozi, dalali, wafugaji, n.k. Just in case ! walezi na wazazi muwasihi.

Nanyi wazazi mbadili mentality

Ukiona mtoto anajifunza hizo kazi usianze kumkaripia kwamba haziendani na elimu yake

Uwanja wa uhalisia upo tifauti kabisa, ikiwezekana mpigie connection apate sehemu ya kujipatia uzoefu
 
πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…