Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 9,397
- 12,415
Vijana waCCM wanajiona kuwa wao ni special kuliko watanzania wengine.
Yaani wanaweza kujitokeza hadharani kutoa hata vitisho kwa watanzania wenzao.
Alafu wakijitokeza kuongea wanaongea kama wanachama na sio watanzania.
This is not good guys, mambo ya chama ni wakati wa uchaguzi saivi tuzungumzie Tanzania na sio chama.
Tutatue matatizo ya Tanzania.
Kwanza mimi nilikua naona hata sare za chama ziache kuvaliwa baada ya uchaguzi kumalizika.
Nadhani kabisa mtu akivaa shati na kofia ya chama basi anajiona kuwa na nguvunguvu kuliko wasio na kofia na shati. This is not good.
Nimekaa wingereza na marekani sijawahi ona watu wanavaa nguo za chama, baada ya uchaguzi kumalizika.