Uchaguzi 2020 Vijana Wahitimu wa Vyuo Vikuu, Wajiunga Pamoja Kuikampenia CCM, Watumia Basi Maalum, CCM Campaign Bus, Kufikia Wengi, Wasaidia Sana CCM Kuvuna Kura!

Hao wahitimu wamesoma kwa pesa za ccm sio loan’s board au kwa influence ya ccm wamefutiwa madeni na loan’s board.
Kwa muhitimu mwenye akili timamu akiwaza makato ya 15% na ile 6% ya retention fee hawezi kuikampenia CCM
 
Rubbish
 
Shetani hawezi badilika kamwe !!
 
Paschal kajitoa ufahamu, sijui ni Ukabila au ni kutafuta Uteuzi kwani naona bado kakaza shingo !!
 
Kwahiyo Pascal Njaa unataka kuuaminisha Umma kwamba ushindi wa CCM utatokana na Kampeni zinazopigwa na hao wahitimu wasiojielewa (kama kweli ni wahitimu) na sio Nguvu kubwa ya vyombo vya Dola, NEC, ZEC, Dhurma dhidi ya wapinzani na Mipango ya Wizi wa Kura?

Usitufanye wajinga kwa sababu ya njaa zako. Njaa imekutia upofu huoni maovu yanayoendelea na haki ikiminywa na hao unaowalamba miguu Ili wakupe Chakula. Kuendekeza njaa kunaweza kukamfanya mwanaume awe hopeless kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…