Pascal Mayalla, time is a factor of production. Hao vijana wa
CCM ni jobless, time wasters, muda wa kufanya kazi wanazurura, na wewe msomi nguli wa habari na Sheria unafurahia.
Rasilimali muda ikipotea huipati Tena, Bora uooteza pesa lakini si muda.
Huu muda wa kuwatafutia madaraka wenzao watakuja kuulilia siku moja.
Kampeni zinaisha na wanarudi kwenye msoto wao wa Kila siku.
CCM imeahindwa kubuni vyanzo vipya vya ajira kwa wahitimu wa elimu ya juu, elimu ya Kati na ya chini.
CCM ni bug time failure