Uchaguzi 2020 Vijana Wahitimu wa Vyuo Vikuu, Wajiunga Pamoja Kuikampenia CCM, Watumia Basi Maalum, CCM Campaign Bus, Kufikia Wengi, Wasaidia Sana CCM Kuvuna Kura!

Uchaguzi 2020 Vijana Wahitimu wa Vyuo Vikuu, Wajiunga Pamoja Kuikampenia CCM, Watumia Basi Maalum, CCM Campaign Bus, Kufikia Wengi, Wasaidia Sana CCM Kuvuna Kura!

Hao wahitimu wamesoma kwa pesa za ccm sio loan’s board au kwa influence ya ccm wamefutiwa madeni na loan’s board.
Kwa muhitimu mwenye akili timamu akiwaza makato ya 15% na ile 6% ya retention fee hawezi kuikampenia CCM
 
Kesho ndio siku maalumu kuweka historia ya kuifungasha virago Chadema na Lisu mkoa wa Dar es salaam kuwapiga chini wagombea wake wote kuanzia wa uraisi ,ubunge na udiwani

Dar kesho tutaiongoza mikoa mingine kumfungasha virago mbelgiji Tundu Lisu Dar hadi aigope akisikia Dar presha iwe inampanda kwa kukumbuka kipigo cha kura alichoppata
Rubbish
 
CCM itashinda huu uchaguzi kirahisi sana, kwa sababu muundo wa tume ya uchaguzi, na jinsi katiba ilivyo havitoi mwanya wa asiye madarakani kushinda u rais!!

Hivyo naungana na ww Pasco kusema kwamba CCM itashinda!!

Binafsi nilitamani JPM ashinde kwa ushindi finyu wa angalau 51% labda pengine ingeweza kumbadilisha na kufanya vizuri zaidi kuliko awamu iliyopita!!

Wapinzani kama kweli wanataka mabadiliko, basi waanze na kupigania badiliko la katiba kwanza. Lasivyo watakuwa wakilia kila mwaka kuwa wanaonewa!!
Shetani hawezi badilika kamwe !!
 
Pascal Mayalla, time is a factor of production. Hao vijana wa CCM ni jobless, time wasters, muda wa kufanya kazi wanazurura, na wewe msomi nguli wa habari na Sheria unafurahia.
Rasilimali muda ikipotea huipati Tena, Bora uooteza pesa lakini si muda.
Huu muda wa kuwatafutia madaraka wenzao watakuja kuulilia siku moja.
Kampeni zinaisha na wanarudi kwenye msoto wao wa Kila siku.
CCM imeahindwa kubuni vyanzo vipya vya ajira kwa wahitimu wa elimu ya juu, elimu ya Kati na ya chini.
CCM ni bug time failure
Paschal kajitoa ufahamu, sijui ni Ukabila au ni kutafuta Uteuzi kwani naona bado kakaza shingo !!
 
Kwahiyo Pascal Njaa unataka kuuaminisha Umma kwamba ushindi wa CCM utatokana na Kampeni zinazopigwa na hao wahitimu wasiojielewa (kama kweli ni wahitimu) na sio Nguvu kubwa ya vyombo vya Dola, NEC, ZEC, Dhurma dhidi ya wapinzani na Mipango ya Wizi wa Kura?

Usitufanye wajinga kwa sababu ya njaa zako. Njaa imekutia upofu huoni maovu yanayoendelea na haki ikiminywa na hao unaowalamba miguu Ili wakupe Chakula. Kuendekeza njaa kunaweza kukamfanya mwanaume awe hopeless kabisa.
 
Back
Top Bottom