Vijana wajipanga kufanya Maandamano ya Amani kumpongeza Rais Samia kwa kutoa Maelfu ya Ajira

Vijana wajipanga kufanya Maandamano ya Amani kumpongeza Rais Samia kwa kutoa Maelfu ya Ajira

Ndugu zangu Watanzania,

Vijana kwa umoja wao na kwa kujitambua pasipo kushinikizwa na mtu wanapanga mikakati ya kufanya maandamano ya Amani Nchi nzima Kumpongeza Rais wetu mama Samia suluhu Hassani kwa namna alivyo fanya kazi kubwa ya kutengeneza na kutoa maelfu ya ajira kwa vijana ndani ya muda mfupi Sana wa uongozi wake.

Kitendo na Hatua za Rais Samia kutoa vibali vya ajira katika nyakati tofauti tofauti kimeleta nuru ,Tabasamu na kuinua matumaini kwa vijana wengi Sana waliokuwa wamekata Tamaa,Ikumbukwe ya kuwa vijana wanakuwa na changamoto nyingi Sana za kuinuka kiuchumi wanapotoka vyuoni,kwa kuwa wengi wao wanakuwa hawana mitaji Wala msaada wowote kutoka kwa wazazi kwa kuwa wazazi wanakuwa walishateketeza mali nyingi Sana katika kuwasomesha watoto wao kuweza kufikia ndoto zao za kupata Elimu na kuja kusaidia familia zao na kuondokana na utegemezi.

Pia hatua hii njema na ya kupongezwa kwa Rais Samia na serikali yake ya CCM Ina manufaa mengi Sana kiuchumi,kwa kuwa ukitoa ajira kwa watu wengi maana yake unaongeza mzunguko wa fedha mitaani kwa kuwa watu Hawa mwisho wa mwezi wakipata mishahara watapeleka mingine sokoni, madukani, migahawani, kwa waendesha bodaboda na bajaji, kwenye mbolea, vyakula, vifaa vya ujenzi ,n.k.

Hivyo kusaidia uwepo wa pesa mitaani,lakini pia inasaidia kupunguza umaskini wa kipato kwa Kaya na wategemezi wao, inasaidia na kuchochea ongezeko la shughuli mbalimbali za kiuchumi zitakazo ongeza namba ya walipa kodi, mfano mtu akiwa na mshahara wake anaweza Akautumia Kama kianzio Cha mtaji kwa kufungua biashara ya duka la Mahitaji ya nyumbani au Nguo au kuingia shambani kulima,au kununua na kuuza mazao kwa kutumia vijana waaminifu huku yeye akiendelea na kazi ya kulitumikia Taifa katika ajira yake n.k.

Ndio maana vijana wanaona Wana kila sababu ya kumpongeza Rais Samia waziwazi ili kumpa moyo na faraja ya Kuendelea mbele Zaid katika majukumu yake ya kuwatumikia watanzania,wanafanya hivyo kuonyesha kuwa wanaendelea kuwa Naye bega kwa bega na kusimama naye, wanasema hata Kama itashindikana kutoka mitaani lakini ndani ya Mioyo Yao wanaendelea kuandamana kwa maelfu kumpongeza Rais Samia, ndani ya Mioyo Yao wamebeba mabango ya kumpongeza Rais Samia kwa jumbe za kumtia moyo na nguvu ya kuchapa kazi.

Kwa hakika katika suala la ajira kwa vijana Rais Samia Anastahili Sana pongezi maana vijana wengi Sana walikuwa wamekata Tamaa na kuona Kama walipoteza muda wao kwenda vyuo vikuu,waliona ni Kama wangetumia muda na Ada zao Kama mitaji kwa ajiri ya kufanya biashara ,lakini Sasa Rais Samia kainua matumaini na mioyo ya vijana,

Ni vicheko, Tabasamu, furaha tu kwa vijana Mitaani kwa Sasa maana wanaona mwanga na nuru ya kutimiza Ndoto zao machoni Pao wanaona njia zikifunguka na kunyooka, wazazi wengi wameguswa na kumshukuru Sana Rais Samia kwa moyo wake wa upendo kwa vijana wake ambao wengi Ni Kama watoto wake ambao wengi wanasema tunakwenda na mama mpaka 2030.

Hakika Rais Samia anaendelea kuliletea furaha Taifa maana ukitaka Taifa liwe na furaha na amani Basi wape furaha na matumaini vijana, kwa Sasa Rais Samia kawapa furaha na matumaini vijana, ndio sababu ya Rais Samia Kuendelea kuongoza Taifa letu kwa amani na utulivu maana mioyo ya vijana Ni Safi na yenye amani na Rais samia, Vijana Wana matumaini makubwa Sana na uongozi wa Rais Samia.

Rais Samia Ni zawadi kwetu watanzania tunayopaswa kujivunia na kuiheshimu Sana maana watu Aina yake hawazaliwi kila Siku Wala kupatikana kila mahali, jiulize Kama amefanya haya ndani ya muda mfupi vipi mpaka 2030 panapo Majaliwa ya Mwenyezi MUNGU? Ni vijana wangapi watakuwa na ajira? Atakuwa ametengeneza ajira ngapi kupitia miradi anayojenga? Mnafikiri kwa Kasi hii ya maendeleo tutakuwa wapi wakati huo? Nchi gani Afrika mashariki itakayotusogelea kiuchumi?

Ndugu zangu watanzania na vijana wote kwa ujumla kwanini Tusimuunge mkono Rais wetu mama Samia? Kwanini tusimpiganie na kumpigia kampeni uchaguzi ujao? Hatuoni namna alivyo mzalendo? Msikivu, Jasiri, imara, shupavu na madhubuti? Rais Samia anapaswa kupewa kura ya ndio na kila mtanzania mwenye mapenzi mema na Taifa letu.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627
Mama Samia aliruhusu malipo hayo yafanyike kwa kampuni hiyo na ongezeko zaidi kwani kampuni hiyo badala ya kulipwa tsh Bil 10.9 sasa imelipwa tsh Bilioni 21.9 na chanji inabakia.

Pesa hizo zililipwa katika akaunt namba 01530390577600 CRDB, mali ya DAISY GENERAL TRADERS kwa mafungu mawili ambapo tarehe 25/3/2023 akaunt tajwa ilipokea kiasi cha tsh Bilioni 2,737,986,111.86 na baadaye kiasi cha tsh 19,223,257,320.00 hivyo kukamilika kiasi cha tsh Billion 21,961,243,431.86.

Hata hivyo kampuni ya DAISY GENERAL TRADERS ilipata tender Wizara ya Mambo ya ndani kutengeneza sare za jeshi kwa gharama ya kiasi cha tsh Bilioni 10 na baada ya kuchelewesha inaonyesha fedha hizo zilizuiliwa kulipwa.

Katika Mazungumzo ya wamiliki wa kampuni ya DAISY GENERAL TRADERS ambao ni Angela Kiziga na Elvis Peter Kilango na Serikali waliomba kulipwa ongezeko la tsh milioni 900 ambazo zilikuwa ni kwa ajili ya kodi na wakakubaliana hivyo. Jumla walistahili kulipwa kiasi cha tsh bilion 10.9. Cha kushangaza ni namna mgao na malipo yalivyofanyika. Baada ya kiasi cha tsh Bilioni 21,961,243,431.86 kuingizwa kwenye akaunt no 01530390577600 CRDB mali ya DAISY GENERAL TRADERS inayomilikiwa na Angela Kiziga na Elvis Peter Kilango mgao ulikuwa kama hivi.

Bwana Elvis Peter Kilango inaonyesha ana akaunti no 2012322 mali yake binafsi katika Bank ya ABSA BANK TANZANIA. Ambapo sasa hapo ndio mchezo ukaanza.

Akaunt No 2012322 mali ya Elvis ikaanza kupokea miamala kama ifuatavyo.

Tarehe 30/3/2023 ilipokea kiasi cha tsh Bilioni 7
Tarehe 5/4/2023 ilipokea kiasi cha tsh Bilioni 8
Tarehe 12/4/2023 ilipokea kiasi cha tsh bilion 4.9

Mpaka hapo ukipiga hesabu utaona akaunti hiyo binafsi iliingiza Jumla ya kiasi cha tsh Billion 19.9

Mgawanyo mwingine ukaendelea kwa watu binafsi sasa.

Elvis Peter Kilango alijiingizia kiasi cha tsh bilion 4,769,200,000.00
Elvis akalipa fedha kwenda kwa KARMJRR JIVANJEE LTD tsh 83,132,485.00
Malipo kwenda TOYOTA TANZANIA LTD tsh 389,161,125.00
Malipo kwa anayedhaniwa ni Mbunge ndugu LIVINGSTON JOSEPH LUSINDE tsh 10,000,000.00
Malipo kwa VELVE AUTO INVESTMENT tsh 103,776,974.00
Malipo kwa HANDCRAFT NISSAN LTD tsh Bilioni 1,061,658,000.00
Malipo kwa Paul Joseph Meela tsh Bilioni 5,000,000,000.00
Malipo kwa SANGAM INDIA LTD tsh 493,616,833.00
Malipo kwa TAJ EDGE COMPANY tsh 201,835,693.00
Malipo kwa HEAVENLIGHT EDWARD KAVISHE tsh 141,000,000.00.

Ikumbukwe ABDULHALIM HAFIDH AMEIR ni kijana pendwa wa Mama Samia anayedhaniwa kumuongoza Rais kwa kuwaondoa serikalini watu wanaopingana naye.

ANGELA KIZIGA ni Swahiba na shosti wa Rais Samia na ni Mbunge wa Afrika Mashariki aliyepitishwa Bungeni bila hata kufanya interview katika chama.
THANIA ALI ABDULA ni mke wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi ambaye naye kwenye orodha ya wizi huu yumo.
Paul Joseph Meela ni shemeji yake na Mwigulu Nchemba yaani kaka wa mke wa Waziri wa Fedha.

Wengine tutawaletea mahusiano hayo taratibu.

Hata hivyo mgawanyo haukukomea hapo soma hapa chini utaona.

Tarehe 19/4/2023 ABDULHALIM HAFIDH AMEIR aliingiziwa kiasi cha tsh milioni 500,000,000,00.
Tarehe 19/4/2023 THANIA ALI ABDULA aliingiziwa kiasi cha tsh milioni 500,000,000,00 (mke wa Waziri wa Mambo ya Ndani ndgu Masauni na mtu wa karibu na Rais Samia)
Tarehe 5/5/2023 ndugu ABDULHALIM HAFIDH AMEIR aliingiziwa kiasi cha tsh milioni 500,000,000.00
Tarehe 9/5/2023 ndugu ANATORI NYAKI aliingiziwa tsh 500,000,000.00
Tarehe 9/5/2023 ELVIS PETER KILANGO alijiingizia kwenye Akaunti yake kiasi cha tsh Bilioni 3,676,000,000.00
Tarehe 15/5/2023 ndugu YASSIR KAROUB SEIF aliingiziwa kiasi cha tsh 300,000,000.00
Tarehe 15/5/2023 THANIA ALI ABDULA aliingiziwa kwenye akaunt yake tena tsh 200,000,000.00
Tarehe 22/5/2023 ABDULHALIM HAFIDH AMEIR tena akaingiziwa kiasi cha tsh milioni 120,500,000.00

Kwa mgawanyo huo utaona kama ifuatavyo.
1. ABDULHALIM HAFIDH AMEIR amelipwa kiasi cha tsh Bilioni 1,120,500,000.00
2. Bi THANIA ALI ABDULA amelipwa kiasi cha tsh milioni 700,000,000.00
Hawa wote sio watumishi wa Umma na haijulikani wamefanya biashara gani na Serikali.
Kama mama Samia hahusiki ni vyema asimame na kuwakamata wahusika wote wa jambo hili.

Hata hivyo akaunt no 0152673620900 CRDB mali ya THANIA ALI ABDULA ndio iliyopokea pesa zote ambazo mke wa Waziri wa Mambo ya Ndani alilipwa na yeye kuzigawa kama ifuatavyo.

Tarehe 27/4/2023 THANIA ALI ABDULA alimuingizia ndugu ALI JAFAR SHAURI kiasi cha tsh 100,000,000.00
Tarehe 5/5/2023 alitoa cash yeye mwenyewe kiasi cha tsh milioni 170,500,000.00
Tarehe 10/5/2023 alimuingizia pesa ndugu HAMAD MASAUN YUSUPH (mumewe) kiasi cha tsh milioni 80,000,000.00.

Hapo tunamaanisha kazi iendelee ni pamoja na hayo yote?

Nchi imeshindikana hii.

Ni mimi Mghaibuni toka Ughaibuni kunako haki na kweli naendelea kuwajuza.
 
Back
Top Bottom