Vijana walioandamana (Gen Z) wakutwa wametupwa kwenye viroba wakiwa wameuawa kwa kuchinjwa kama nyama

toriyama

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
1,139
Reaction score
2,223
Vijana walioandamana (Gen Z) wakutwa wametupwa kwenye viroba wakiwa wameuawa kwa kuchinjwa kama nyama

Hali ya usalama kwa vijana walionekana Kenya inazidi kuhatarisha huku kukiwa na ongezeko la mauaji kwa vijana walioandamana kali ikiwa ni sehemu ya wanaodhani ni kulipa kisasi cha Rais wao William Ruto kwa waandamanaji kuchoma bunge.

Vijana wamekutwa wakiwa wamefungwa katika viroba wakiwa wamekatwa katwa na mapanga hadi kufa.

Huku media nchini kenya zikiwa kimya video hii hapa chini
Your browser is not able to display this video.


Soma ===>> Kituo cha polisi Mukuru Kenya chashtumiwa kufahamu uwepo wa miili ya watu iliyokutwa nyuma ya bonde
 
Aliyewatoa uhai ndiye atakayeondoka
 
Kwa nn wana husishwa kuwa ni vijana wa gen Z.?
Vijana walikuwa wengi kwa nn wamekuwa selected hao wachache?
nahis kuna mchezo mchafu
daah pole sana Mcha Mungu Rais Ruto.
Wapumzike kwa Amani vijana mashujaa waliokuwa wana pigania taifa lao.
 
Huu mchezo umechezeshwa na waliokuwa nyuma ya hao waandamanaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…