Vijana walioandamana (Gen Z) wakutwa wametupwa kwenye viroba wakiwa wameuawa kwa kuchinjwa kama nyama

Vijana walioandamana (Gen Z) wakutwa wametupwa kwenye viroba wakiwa wameuawa kwa kuchinjwa kama nyama

still rumous……i saw the news its very early to conclude that dead body are Genz from demonstration! Did any one from Genz reported missing and his or her body found yesterday?
Otherwise where does these bodies come from.
Is it fair and just for a fellow human being to be butchered and disposed through that way?
 
Watu walioibiwa mali zao na kufilisiwa na hao wajinga, wanalipa kisasi, na bado sana, wengine bado wanatafutwa.
 
Ruto asipokuwa na intelenjisia ya maana anaweza pia akawa ana dance midundo ya watu wengine.

Ni ngumu kweli kuamini serikali ya Ruto iue kisha iwatupe wazi sehemu ya kuonekaa ,hapo inaonekana kuna mchezo mchafu anachezewa.
Kwenye maandamano ya g z ndani yake kulikuwa na makundi ya kiharifu na inasemekana ndio waliofanya mauaji hayo ili kuichafua serikali ya Ruto
 
Back
Top Bottom