Vijana walioandamana (Gen Z) wakutwa wametupwa kwenye viroba wakiwa wameuawa kwa kuchinjwa kama nyama

Wapinzani wa Ruto wameshasukuma kete nyengine
Wapuuzi sana. Kuna jamaa aliuawa na Polisi kwenye yale maandamano, wakataka kuiibua ili iwe issue, kumbe yule jamaa alimookinya askari bunduki, akaanza kuwafyatulia waandamanaji, pia akamfyatulia mtoto mdogo risasi zaidi ya 5 na kumuua ndipo Polisi ikibidi wamuue, bahati nzuri watu waliona, bila hivyo kifo cha yule jamaa na wale waliouawa na wale jamaa vyoye bilikuwa vinaenda kudondoshewa serikali ya Ruto.
 
Kwa nn wana husishwa kuwa ni vijana wa gen Z.?
Vijana walikuwa wengi kwa nn wamekuwa selected hao wachache?
nahis kuna mchezo mchafu
daah pole sana Mcha Mungu Rais Ruto.
Wapumzike kwa Amani vijana mashujaa waliokuwa wana pigania taifa lao.
Aliyegundua hapo kuna miili anasema dada yake aliyepotea alimtokea ndotoni na kumwambia aje hapo kuna mwili wake
 
Vijana walioandamana (Gen Z) wakutwa wametupwa kwenye viroba wakiwa wameuawa kwa kuchinjwa kama nyama

Hali ya usalama kwa vijana walionekana Kenya inazidi kuhatarisha huku kukiwa na ongezeko la mauaji kwa vijana walioandamana kali ikiwa ni sehemu ya wanaodhani ni kulipa kisasi cha Rais wao William Ruto kwa waandamanaji kuchoma bunge.

Vijana wamekutwa wakiwa wamefungwa katika viroba wakiwa wamekatwa katwa na mapanga hadi kufa.

Huku media nchini kenya zikiwa kimya video hii hapa chini
View attachment 3041039

Soma ===>> Kituo cha polisi Mukuru Kenya chashtumiwa kufahamu uwepo wa miili ya watu iliyokutwa nyuma ya bonde
still rumous……i saw the news its very early to conclude that dead body are Genz from demonstration! Did any one from Genz reported missing and his or her body found yesterday?
 
Vijana walioandamana (Gen Z) wakutwa wametupwa kwenye viroba wakiwa wameuawa kwa kuchinjwa kama nyama

Hali ya usalama kwa vijana walionekana Kenya inazidi kuhatarisha huku kukiwa na ongezeko la mauaji kwa vijana walioandamana kali ikiwa ni sehemu ya wanaodhani ni kulipa kisasi cha Rais wao William Ruto kwa waandamanaji kuchoma bunge.

Vijana wamekutwa wakiwa wamefungwa katika viroba wakiwa wamekatwa katwa na mapanga hadi kufa.

Huku media nchini kenya zikiwa kimya video hii hapa chini
View attachment 3041039

Soma ===>> Kituo cha polisi Mukuru Kenya chashtumiwa kufahamu uwepo wa miili ya watu iliyokutwa nyuma ya bonde
Kuna uwezekano wapinzani wa Ruto ndiyo wanafanya hayo ili wazidi kumuharibia credibility.
 
Vijana walioandamana (Gen Z) wakutwa wametupwa kwenye viroba wakiwa wameuawa kwa kuchinjwa kama nyama

Hali ya usalama kwa vijana walionekana Kenya inazidi kuhatarisha huku kukiwa na ongezeko la mauaji kwa vijana walioandamana kali ikiwa ni sehemu ya wanaodhani ni kulipa kisasi cha Rais wao William Ruto kwa waandamanaji kuchoma bunge.

Vijana wamekutwa wakiwa wamefungwa katika viroba wakiwa wamekatwa katwa na mapanga hadi kufa.

Huku media nchini kenya zikiwa kimya video hii hapa chini
View attachment 3041039

Soma ===>> Kituo cha polisi Mukuru Kenya chashtumiwa kufahamu uwepo wa miili ya watu iliyokutwa nyuma ya bonde
sishabikii mauaji, ila kiukweli, walivuka mstari. ile sio demokrasia.
 
kuna siku niliandika hamumjuii ruto vizuri wakakebehiii humu knonyokonyoo hapo ajaanza

Mlioshabikia gen z mlazike
 
Vijana walioandamana (Gen Z) wakutwa wametupwa kwenye viroba wakiwa wameuawa kwa kuchinjwa kama nyama

Hali ya usalama kwa vijana walionekana Kenya inazidi kuhatarisha huku kukiwa na ongezeko la mauaji kwa vijana walioandamana kali ikiwa ni sehemu ya wanaodhani ni kulipa kisasi cha Rais wao William Ruto kwa waandamanaji kuchoma bunge.

Vijana wamekutwa wakiwa wamefungwa katika viroba wakiwa wamekatwa katwa na mapanga hadi kufa.

Huku media nchini kenya zikiwa kimya video hii hapa chini
View attachment 3041039

Soma ===>> Kituo cha polisi Mukuru Kenya chashtumiwa kufahamu uwepo wa miili ya watu iliyokutwa nyuma ya bonde
Rudini kwa maandamano tena
 
Ruto hatoboi..
 
Walimfanyia hivi hivi Rais Wetu Maghufuli.

Ruto Mungu akusaidie.

Naikumbuka Vyema Movie ya Kenya inayoitwa Nairobi Half Life.. Unatumiwa na Unauawa na waliokutuma.
 
Ruto asipokuwa na intelenjisia ya maana anaweza pia akawa ana dance midundo ya watu wengine.

Ni ngumu kweli kuamini serikali ya Ruto iue kisha iwatupe wazi sehemu ya kuonekaa ,hapo inaonekana kuna mchezo mchafu anachezewa.
yes ni serikali imeua kisha kuwatupa "sehemu ya kuonekana" ili iwe tishio kwa waandamanaji. Ni mbinu ya watawala wengi wa kiafrika. Kwani Kagame anavyowaua wapinzani wake na kukiri "hauwezi kuisema vibaya Rwanda na ukawa salama" je mauaji yake ni yajificha ?! Hapo anakua anatuma ujumbe kwa mauaji kwa wapinzani wake.
 
Do you have prove the government is responsible for this incident?
 
Back
Top Bottom