Vijana walioandamana (Gen Z) wakutwa wametupwa kwenye viroba wakiwa wameuawa kwa kuchinjwa kama nyama

Ndio maana IGP amejitoa mapema...hili ni kaa la moto...matukio kama haya yatawafanya hata waliokua hawataki kuandamana nao waandamane
 
Umenena, hii nakubaliana nayo.
1. Wait a minute mpinzani asiye na Dola anawezaje kuua watu wote hao akawatupe jalalani bila kukamatwa?

2. Ruto na Gachagua wakiiingia Kwa pupa wakaona wameyapatia maisha. Kutwa kutukana watu, walikosa busara za Kiongozi. Wacha kiwakute kitu
 
kitu nisichoelewa, hii mbinu wameikopa wapi? ingekuwa nchi nyingine icho kiroba kuonekana boss wa kitengo angetumbuliwa manake ni kama ameshindwa kazi ya kuficha uovu huo. Mungu anaona.
 
1. Wait a minute mpinzani asiye na Dola anawezaje kuua watu wote hao akawatupe jalalani bila kukamatwa?

2. Ruto na Gachagua wakiiingia Kwa pupa wakaona wameyapatia maisha. Kutwa kutukana watu, walikosa busara za Kiongozi. Wacha kiwakute kitu
Moizania asikuwa na dola!!!! Hahahhahaha, wewe unadhani mwenye nguvu ni dala tu, mm ukinilipa vizuri niambie nimtoe nani na nitatekeleza pasipo kuacha doa. Cash me well, nitakuondolea yoyote yule...... Na katka malipo tutaelewana unatakaje? Niue ajulikane Juma ama John, ama Abdallah ama Andrew.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…