Vijana waliofanikiwa maisha

Vijana waliofanikiwa maisha

Only pesa pesa
Only pesa pesa
Yaani kwa mfano sinza nyumba analipia 300,000+ per month,mafuta ya gari 300,000 per month, matumizi yake 400,000 per month,huoni sio pesa ya kutisha sana,na unaweza kukuta haweki savings.Akipnga nyumba ya laki kuna ubaya gani? au akiendesha ist au vitz ili kusave hela nyingine akajenge
 
300k haitoshi kwa wese kwa mwezi
 
Tozo ziongezwe kwao, kwa kijana yoyote anayefanya kazi Posta na kumilili IST, CROWN AU MARK X TOZO itamhusu.....
Naunga mkono hii hoja,kwa fujo walizonazo tozo zinabidi ziongezeke
 
Yaani kwa mfano sinza nyumba analipia 300,000+ per month,mafuta ya gari 300,000 per month, matumizi yake 400,000 per month,huoni sio pesa ya kutisha sana,na unaweza kukuta haweki savings.Akipnga nyumba ya laki kuna ubaya gani? au akiendesha ist au vitz ili kusave hela nyingine akajenge
Maisha hayana standard formula Mpwa, Kila Mtu anakua na formula yake pasua kichwa
 
vijana hawa huwa wanaona maisha wameyapatia sana,
Kwani wewe unaona hawajayapatia Maisha....????

Au ulitaka wajione hawajayapatia Maisha... (wakae kinyonge kama walipa Tozo wengine wasioyapatia Maisha)
 
Yaani kwa mfano sinza nyumba analipia 300,000+ per month,mafuta ya gari 300,000 per month, matumizi yake 400,000 per month,huoni sio pesa ya kutisha sana,na unaweza kukuta haweki savings.Akipnga nyumba ya laki kuna ubaya gani? au akiendesha ist au vitz ili kusave hela nyingine akajenge
Kwa nini unawapangia matumizi?
 
Sasa wakiona wameyapatia maisha wewe shida yako nini?
Ndio chanzo cha serikali pia kuongeza tozo,wakidhani watanzania wote wanaishi maisha ya kilimbukeni kama wao
 
Yaani kwa mfano sinza nyumba analipia 300,000+ per month,mafuta ya gari 300,000 per month, matumizi yake 400,000 per month,huoni sio pesa ya kutisha sana,na unaweza kukuta haweki savings.Akipnga nyumba ya laki kuna ubaya gani? au akiendesha ist au vitz ili kusave hela nyingine akajenge
Sasa unataka na kuwapangia matumizi ya pesa zao?!!
 
Kwahio kijana kukaa sinza na kumiliki mark x tayari ni ulimbukeni?
Ndio,kwa wenye akili aishi maisha standard tu....anunue gari ya kawaida tu sio hizo za gharama
 
Duh sasa Crown au Mark X ina gharama gani ya kutisha? Mbona kama unawapangia matumizi ya pesa zao?
Sijui uchumi wako,crown au mark x ina cc 2450 hivyo umwaji wake wa mafuta ni mkubwa kulinganisha na ist au vitz so huoni gharama zake ni kubwa
 
Back
Top Bottom