Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na hili muende mkalifanyie kazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na hili muende mkalifanyie kazi.
Hiyo ni kweli300k haitoshi kwa wese kwa mwezi
Kila mtu apambane na hali yake,usiwapangie.Sijui uchumi wako,crown au mark x ina cc 2450 hivyo umwaji wake wa mafuta ni mkubwa kulinganisha na ist au vitz so huoni gharama zake ni kubwa
Inategemea na matumizi ya mtu.300k haitoshi kwa wese kwa mwezi
Hao vijana ni design ya members humu akina ChuraNadhani ni mtazamo wako na unasumbuliwa na inferiority complex.
Solution...
Tafuta pesa.
Acha ushamba jamaa mjini usiige maisha wala usipangie watu jinsi ya kuishi. Wengine wanaendesha hata Majesta ila mafuta ana Card anawekewa mafuta na ofisi. Hapo unasemaje?Sijui uchumi wako,crown au mark x ina cc 2450 hivyo umwaji wake wa mafuta ni mkubwa kulinganisha na ist au vitz so huoni gharama zake ni kubwa
Nilivyo na nilivyonavyo ni kwa ajili ya Mungu,Kuna vijana ambao wanaona maisha wameyapatia kama vijana wenye sifa hizi;-
1. Anakaa sinza
2. Anamiliki crown au Mark x
3. Anafanya kazi posta
na hii sio lazima sana anafanya kazi bank.
vijana hawa huwa wanaona maisha wameyapatia sana,
Mkuu tuache unafiki,crown au mark x ni gari zinazo kunywa mafuta sana na service zake zipo juu
Nyie mnaoishi kwa quotes mtapotea vibaya sana