Vijana waliofanikiwa maisha

Vijana waliofanikiwa maisha

Kuna MATHEMATICIAN kapata 300,000/- ni mafuta ya siku 35, hizo zinatosha kabisa na misele ya kidimbwi!
Humo hamna foleni, simu za deal wala kwenda viwanja ama kumfata mtoto location 😂😂😂!!!
Mafuta hayo kwa safari ndefu sawa ila sio kwa start stop za mjini. Yuko mtu namjua ana Crown inameza wese la 70k kila baada ya siku 3 halafu mtu anakuja na story za laki 3 kwa mwezi nimeshangaa mno.
 
Mmmh nyie ndo mnafanya tozo zizidi
 
300,000 ÷ 3410 = 87.97 litres x 8 km/l = 703 KM (Posta hadi Sinza) 10KM x 2 = 20KM kwaio 703KM÷20KM = 35.2 Trips kwaio hapo anazo siku 35
Kweli aisee. Kwa 8kmpl inawezekana. Kha kumbe crown hazili mafuta kabisa 🥲
 
Kuna vijana ambao wanaona maisha wameyapatia kama vijana wenye sifa hizi;-
1. Anakaa sinza
2. Anamiliki crown au Mark x
3. Anafanya kazi posta
na hii sio lazima sana anafanya kazi bank.

vijana hawa huwa wanaona maisha wameyapatia sana,
Aisee, pambana na maisha acha kupambana na watu!?
 
Definition ya success ni very subjective, may be angesema yeye kufanikiwa tafsiri yake ni nini? By the way why anyooshe vidole kwa wengine….indeed, inferiority complex!
Hata siku akisalimiwa na hao anaosema wanaringa hataitikia kwa kisingizio wamemsalimia kwa nyodo au kinafki.

Hawa ndivyo walivyo, ukifanikiwa ni mojamoja kwa moja una maringo.
 
Kuna vijana ambao wanaona maisha wameyapatia kama vijana wenye sifa hizi;-
1. Anakaa sinza
2. Anamiliki crown au Mark x
3. Anafanya kazi posta
na hii sio lazima sana anafanya kazi bank.

vijana hawa huwa wanaona maisha wameyapatia sana,
Kama anaishi Sinza lakini ana nyumba mbili tatu mbagala au gongo la mboto haina tatizo ila kama kapanga Sinza...ujana wake wote, uzeeni atalia na kusaga meno
 
Kuna vijana ambao wanaona maisha wameyapatia kama vijana wenye sifa hizi;-
1. Anakaa sinza
2. Anamiliki crown au Mark x
3. Anafanya kazi posta
na hii sio lazima sana anafanya kazi bank.

vijana hawa huwa wanaona maisha wameyapatia sana,
Tuwekee picha zao tafadhali
 
Back
Top Bottom