Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,301
- 8,706
Hili nalo tutalitizama.Na hili muende mkalifanyie kazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili nalo tutalitizama.Na hili muende mkalifanyie kazi.
Ha ha ha kazi ipo.300,000 ÷ 3410 = 87.97 litres x 8 km/l = 703 KM (Posta hadi Sinza) 10KM x 2 = 20KM kwaio 703KM÷20KM = 35.2 Trips kwaio hapo anazo siku 35
Kuna MATHEMATICIAN kapata 300,000/- ni mafuta ya siku 35, hizo zinatosha kabisa na misele ya kidimbwi!Kwahio weekend halitembei? Kitambaa cheupe, kidimbwi
Aisee!Crown ingekuwa inatumia wese la laki 3 kwa mwezi hata mimi ningelinunua, hayo mafuta ni ya gari kama IST na wenzie
Humo hamna foleni, simu za deal wala kwenda viwanja ama kumfata mtoto location 😂😂😂!!!Kuna MATHEMATICIAN kapata 300,000/- ni mafuta ya siku 35, hizo zinatosha kabisa na misele ya kidimbwi!
Mmmh nyie ndo mnafanya tozo zizidiHumo hamna foleni, simu za deal wala kwenda viwanja ama kumfata mtoto location 😂😂😂!!!
Mafuta hayo kwa safari ndefu sawa ila sio kwa start stop za mjini. Yuko mtu namjua ana Crown inameza wese la 70k kila baada ya siku 3 halafu mtu anakuja na story za laki 3 kwa mwezi nimeshangaa mno.
Kweli aisee. Kwa 8kmpl inawezekana. Kha kumbe crown hazili mafuta kabisa 🥲300,000 ÷ 3410 = 87.97 litres x 8 km/l = 703 KM (Posta hadi Sinza) 10KM x 2 = 20KM kwaio 703KM÷20KM = 35.2 Trips kwaio hapo anazo siku 35
Kwa consumption yake mafuta yangetoboa siku 26 tu wakati crown ni siku 35.Fuga mbona nayo ya ushua tu
Aisee, pambana na maisha acha kupambana na watu!?Kuna vijana ambao wanaona maisha wameyapatia kama vijana wenye sifa hizi;-
1. Anakaa sinza
2. Anamiliki crown au Mark x
3. Anafanya kazi posta
na hii sio lazima sana anafanya kazi bank.
vijana hawa huwa wanaona maisha wameyapatia sana,
Hahahaha itakua mzeeKweli aisee. Kwa 8kmpl inawezekana. Kha kumbe crown hazili mafuta kabisa 🥲
Kazi si kitoto...Ha ha ha kazi ipo.
Hata siku akisalimiwa na hao anaosema wanaringa hataitikia kwa kisingizio wamemsalimia kwa nyodo au kinafki.Definition ya success ni very subjective, may be angesema yeye kufanikiwa tafsiri yake ni nini? By the way why anyooshe vidole kwa wengine….indeed, inferiority complex!
4GR 8-9.5km/L mjini kwa dereva mstaarabu na gari iko sawa.Kweli aisee. Kwa 8kmpl inawezekana. Kha kumbe crown hazili mafuta kabisa 🥲
Hiyo ni consumption nzuri mno4GR 8-9.5km/L mjini kwa dereva mstaarabu na gari iko sawa.
Inanusa wese4GR 8-9.5km/L mjini kwa dereva mstaarabu na gari iko sawa.
Crown iko njema sanaHiyo ni consumption nzuri mno
Kama anaishi Sinza lakini ana nyumba mbili tatu mbagala au gongo la mboto haina tatizo ila kama kapanga Sinza...ujana wake wote, uzeeni atalia na kusaga menoKuna vijana ambao wanaona maisha wameyapatia kama vijana wenye sifa hizi;-
1. Anakaa sinza
2. Anamiliki crown au Mark x
3. Anafanya kazi posta
na hii sio lazima sana anafanya kazi bank.
vijana hawa huwa wanaona maisha wameyapatia sana,
Tuwekee picha zao tafadhaliKuna vijana ambao wanaona maisha wameyapatia kama vijana wenye sifa hizi;-
1. Anakaa sinza
2. Anamiliki crown au Mark x
3. Anafanya kazi posta
na hii sio lazima sana anafanya kazi bank.
vijana hawa huwa wanaona maisha wameyapatia sana,