Only pesa pesa
Yaani kwa mfano sinza nyumba analipia 300,000+ per month,mafuta ya gari 300,000 per month, matumizi yake 400,000 per month,huoni sio pesa ya kutisha sana,na unaweza kukuta haweki savings.Akipnga nyumba ya laki kuna ubaya gani? au akiendesha ist au vitz ili kusave hela nyingine akajengeOnly pesa pesa
300k haitoshi kwa wese kwa mweziYaani kwa mfano sinza nyumba analipia 300,000+ per month,mafuta ya gari 300,000 per month, matumizi yake 400,000 per month,huoni sio pesa ya kutisha sana,na unaweza kukuta haweki savings.Akipnga nyumba ya laki kuna ubaya gani? au akiendesha ist au vitz ili kusave hela nyingine akajenge
Maisha hayana standard formula Mpwa, Kila Mtu anakua na formula yake pasua kichwaYaani kwa mfano sinza nyumba analipia 300,000+ per month,mafuta ya gari 300,000 per month, matumizi yake 400,000 per month,huoni sio pesa ya kutisha sana,na unaweza kukuta haweki savings.Akipnga nyumba ya laki kuna ubaya gani? au akiendesha ist au vitz ili kusave hela nyingine akajenge
HahahahahahaNaunga mkono hii hoja,kwa fujo walizonazo tozo zinabidi ziongezeke
Kwani wewe unaona hawajayapatia Maisha....????vijana hawa huwa wanaona maisha wameyapatia sana,
Sasa wakiona wameyapatia maisha wewe shida yako nini?Kuna vijana ambao wanaona maisha wameyapatia kama vijana wenye sifa hizi;-
1. Anakaa sinza
2. Anamiliki crown au Mark x
3. Anafanya kazi posta
na hii sio lazima sana anafanya kazi bank.
vijana hawa huwa wanaona maisha wameyapatia sana,
Kwa nini unawapangia matumizi?Yaani kwa mfano sinza nyumba analipia 300,000+ per month,mafuta ya gari 300,000 per month, matumizi yake 400,000 per month,huoni sio pesa ya kutisha sana,na unaweza kukuta haweki savings.Akipnga nyumba ya laki kuna ubaya gani? au akiendesha ist au vitz ili kusave hela nyingine akajenge
Sasa unataka na kuwapangia matumizi ya pesa zao?!!Yaani kwa mfano sinza nyumba analipia 300,000+ per month,mafuta ya gari 300,000 per month, matumizi yake 400,000 per month,huoni sio pesa ya kutisha sana,na unaweza kukuta haweki savings.Akipnga nyumba ya laki kuna ubaya gani? au akiendesha ist au vitz ili kusave hela nyingine akajenge
Kwahio kijana kukaa sinza na kumiliki mark x tayari ni ulimbukeni?Ndio chanzo cha serikali pia kuongeza tozo,wakidhani watanzania wote wanaishi maisha ya kilimbukeni kama wao
Duh sasa Crown au Mark X ina gharama gani ya kutisha? Mbona kama unawapangia matumizi ya pesa zao?Ndio,kwa wenye akili aishi maisha standard tu....anunue gari ya kawaida tu sio hizo za gharama
Nimepoa mkuu... Saiz napambana na tu Kaka binti nimekua nae miaka mitatu aisee afu from nowhere kaja kijana kambeba ghafla imeniumiza sana... Ila nime libeba kama changamoto.Aisee,pole sana mkuu...Ndio vijana wa sinza hao
Sijui uchumi wako,crown au mark x ina cc 2450 hivyo umwaji wake wa mafuta ni mkubwa kulinganisha na ist au vitz so huoni gharama zake ni kubwaDuh sasa Crown au Mark X ina gharama gani ya kutisha? Mbona kama unawapangia matumizi ya pesa zao?