Vijana waliopo CCM wanalo la kujifunza hapa

Ndio uzuri wa CCM freedom of opinion; jaribu kwenda kinyume cha Mbowe au viongozi wa vyama vingine.

CCM Chama
Sasa nimegundua kuwa wewe sio Kilatha bali kilaza.
Kwani hapo mwandishi kaenda kinyume na Samia?
 
Sasa nimegundua kuwa wewe sio Kilatha bali kilaza.
Kwani hapo mwandishi kaenda kinyume na Samia?
Kama yupo sawa na mama Samia niwiye radhi.

Ila CCM chama na Samia ndio mwenyekiti: hiyo ndio hoja yangu.
 
Ongezea hapo,
Prof Kitilia mkumbo .. waziri
Dr Wilbroard slaa ... Balozi
 
maendeleo hayana vyama🤣🤣
 
Tatizo ukiwa CCM lazima ujitoe ufahamu,hao vijana wote huko ni misukule tu
 
Sawa atukahi ma ccm yanashindiana uwezo: hila na sisi tusiwapambe watu kushinda uwezo wao; halafu baadae tukaja kukutana.

Jokate huo uwezo tunaotaka kumpa hana.
 
Mwalimu wa siasa kazini

 
Kwa ukongwe wa CCM kwa nini inakosa mtu mwenye sifa ya kuwa Mkuu wa Wilaya hadi waokoleze akina Msando?
If they had done there assessment they would have known Msando hana shida ya nafasi ya ukuu wilaya.

Sio kila mtu ana njaa kama ma CCM yanavyojiaminisha..

Albert Msando hiyo nafasi anatafuta namna ya kuitema hajui anaanzia wapi bila ya kuivunjia heshima mamlaka ya uteuzi.

Mamlaka ya teuzi tumejaza viazi; Albert Msando aendi Morogoro ata yeye mwenyewe aisome hii post na kujaribu kuipinga.

Psychology matters too; nina uhakika wa asilimia 100 Msando anautema DC.
 
Hawajifunzi na hawatajifunza. Waache waendelee kukaa na chuki zao kwenye mataa.
 
CCM chama sio unga unga kama CDM.

CCM aiwezi wacha talent yenye vigezo nakuhakikishia hilo.
Mtoa mada ameeleza unachokielezea wewe ila hoja yake ni kwamba hao talented hawapo CCM huko huko mpaka wachukue wa upinzani ??


Nadhani sasa utakuwa umeelewa hoja ilipo.
 
Kwa ukongwe wa CCM kwa nini inakosa mtu mwenye sifa ya kuwa Mkuu wa Wilaya hadi waokoleze akina Msando?
Did I not answer you becauseright know I am too JD and about promise; what I will tell you is this Albert Msando aendi Morogolo miaka 800 and if he does I will pay you a million.

Ndio ujue mamlaka ya uteuzi ni ovyo; nakurudia tena Albert Msando aendi Morogolo.
 
Mtoa mada ameeleza unachokielezea wewe ila hoja yake ni kwamba hao talented hawapo CCM huko huko mpaka wachukue wa upinzani ??


Nadhani sasa utakuwa umeelewa hoja ilipo.
CCM ina talent elewa achana na huyo mleta mada anaropoka tu.

Hivi nyie watu mnaijua CCM au mnaisikia tu, humu JF tunaweza kuwa na ushambenga wasiasa fulani fulani wenzetu wanatusoma tu.

Hila watu wanaokilinda hicho chama ukiwajua and how powerful they are acha tu; ukiambiwa huwezi amini.

Sometimes tujikite kuwateta tuu JF hila uwezi shindana na CCM kama akili zako timamu.

Na sisi tunaowatukana sio kwamba hatujui risk zetu; hila tunatambua ni watu ambao kwa namna gani tunaweza waponda wakativumilia.

CCM chama asikwambie mtu vingine.
 
Inaelekea hujui maana ya chama. Chama ni hoja na ushawishi na CCM kwenye hilo hawamo.
Wao ni chama dola, ukiwatenga na dola tuu wamekufa na kupotea kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…