Vijana waliopo CCM wanalo la kujifunza hapa

Vijana waliopo CCM wanalo la kujifunza hapa

Maana yake ni kwamba, hao in ccm kabla hawajajijunga hadema, waliwekwa cdm kwa shughuli maalum wakisimamiwa na mwenyekiti.
@kawoli unamaanisha hao zamani walivokua CCM walikua hamnazo, ccm ikawapeleka CHUO CHADEMA wakapevuka na wakafunzwa namna ya kupambanua sasa hivi wamefuzu, ndio wakarudi ccm kuifanyia kazi.
 
Ujumbe huu nimeutoa mahali lakini author hafahamiki ila utawasaidia sana vijana hawa kujitambua na kujua kuwa ubaguzi wao na dharau kwa wengine hauna manufaa kwao;

Matokeo ya Kisiasa yanataka Moyo Sana vijana wa CCM tutulieni nchi ni yetu sote, tupunguze kuchukiana na kuumizana kimwili!

Moses Machali, DC
David Kafulila, RC
Mwita Waitara, Naibu Waziri
Joshua Nassari, DC
Fakii Lulandala, DC
Julius Mtatiro, DC
Albert Msando, DC
David Silinde, Naibu Waziri,
Vincent Mashinji, DC
Mwambe, MB
Gekuli, Naibu Waziri
Juliana Shonza, MB
Patrobasi Katambi, N/W
Lijua Likali, DC

UVCCM tunajifunza nini toka kwa Vijana waliojengwa na CHADEMA wakaiponda CCM, Wamechukuliwa kuisaidia CCM[emoji404]

NCHI YETU SOTE tufanye siasa za hoja na siyo vioja na kuumizana.
CCM inawatumi kama kondomu dadeki kazi yao kutukana mitandaoni kwa buku saba za lumumba baada ya uchaguzi wanawekwa kando sababu wanaonekana hamnzo, kweli upinzani una watu makini..
 
Ndugu CCM kama chama hakina ahadi ya kumtoa mtu yoyote kimaisha. Isipokuwa kinauwezo wa kuwapa watu nafasi za uongozi kama taasisi ya chama cha siasa.

Sasa ukisema uende CCM ukidhani ndio njia ya kukimbia umaskini; itakula kwako.

CCM ni taasisi tu yenye agenda ya kuwaletea watanzania maendeleo na mwanachama yeyote mwenye kadi na sifa ya kushika na nafasi sahihi ya uongozi anaweza teuliwa huo ndio uhalisia.

Onyesha thamani yako kama mwanachama CCM aiwezi kukuacha miaka 800.
Unaongea pumba. Milioni tatu vs nothing unaona si kitu!!! Hoja hapa siyo kwenda ccm ili utoe umaskini. Hoja ni vijana wa upinzani kupeta Mara tu walivyoingia ccm na kuwabwaga wakongwe.
 
Ujumbe huu nimeutoa mahali lakini author hafahamiki ila utawasaidia sana vijana hawa kujitambua na kujua kuwa ubaguzi wao na dharau kwa wengine hauna manufaa kwao;

Matokeo ya Kisiasa yanataka Moyo Sana vijana wa CCM tutulieni nchi ni yetu sote, tupunguze kuchukiana na kuumizana kimwili!

Moses Machali, DC
David Kafulila, RC
Mwita Waitara, Naibu Waziri
Joshua Nassari, DC
Fakii Lulandala, DC
Julius Mtatiro, DC
Albert Msando, DC
David Silinde, Naibu Waziri,
Vincent Mashinji, DC
Mwambe, MB
Gekuli, Naibu Waziri
Juliana Shonza, MB
Patrobasi Katambi, N/W
Lijua Likali, DC

UVCCM tunajifunza nini toka kwa Vijana waliojengwa na CHADEMA wakaiponda CCM, Wamechukuliwa kuisaidia CCM[emoji404]

NCHI YETU SOTE tufanye siasa za hoja na siyo vioja na kuumizana.
Nachoona hapa bi wivu uliopilitiza toka bavicha...
Endeleeni kusota...
 
Kazi rahisi sana kuiponda CCM Kisha unajiunga nalo unakula maisha
 
kwani makada gani wa ccm bado hawajapata teuzi!!!maana inawezekana kabisa unaimba na kucheza mwenyewe.
 
Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Mama Anna Mngwira alitoka ACT directly na huyu Mkuu wa mkoa wa Iringa bado ni mwanachama wa ADC.

Una swali zaidi?
Wakati kuna watu wameimba ccm ni ileile oo ni ile ile mpaka haja ndogo zimewatoka lakini wanapewa uRC watu tokea upande wa pili.
Maana yake ni kuwa wenye uwezo huo hakuna ndani mwao! Hayo yaliyomo ni mavuvuzela tuu
 
Did I not answer you becauseright know I am too JD and about promise; what I will tell you is this Albert Msando aendi Morogolo miaka 800 and if he does I will pay you a million.

Ndio ujue mamlaka ya uteuzi ni ovyo; nakurudia tena Albert Msando aendi Morogolo.
Hii milioni ulilipa?
 
Sidhani ka huwa ni mission waliyotumwa huwezi lingamisja vijana wa upinzani na uvccm kujenga hoja kwa mstakabali wa nchi hao ni vitu viwili tofaut. Huko upinzani huwa ni platform inayo wafanya wajulikane hyo ya mission nakupinga kabisa ukikaa na uvccm hata ufikiri wao ni mdogo
...Kwanini mdogo....?
 
[emoji116]
Screenshot_20210622-151503.jpg
 
ndiomana ilichapishwa fomu moja tu ya ugombea urais pale chama chakavu
Ndio uzuri wa CCM freedom of opinion; jaribu kwenda kinyume cha Mbowe au viongozi wa vyama vingine uone shughuli yako

CCM Chama
 
ELewa kwamba CCM aijawahi mtupa kada mwenye uwezo aliejitokeza mbele.

Ukiwa CCM na una uwezo uwezi achwa kamwe mbele ya mtu mwingine.

Kwa CCM makada kwanza kabla ya yeyote.

Kuna teuzi zingine ni unless kwa sababu ya kisiasa; lakini kama wewe ni kada CCM na una uwezo awawezi kukuacha miaka 800.

CCM chama.
Tuki- expand hoja yako; makada walioachwa hawana uwezo
 
Back
Top Bottom