Vijana waliopo CCM wanalo la kujifunza hapa

Maana yake ni kwamba, hao in ccm kabla hawajajijunga hadema, waliwekwa cdm kwa shughuli maalum wakisimamiwa na mwenyekiti.
@kawoli unamaanisha hao zamani walivokua CCM walikua hamnazo, ccm ikawapeleka CHUO CHADEMA wakapevuka na wakafunzwa namna ya kupambanua sasa hivi wamefuzu, ndio wakarudi ccm kuifanyia kazi.
 
CCM inawatumi kama kondomu dadeki kazi yao kutukana mitandaoni kwa buku saba za lumumba baada ya uchaguzi wanawekwa kando sababu wanaonekana hamnzo, kweli upinzani una watu makini..
 
Unaongea pumba. Milioni tatu vs nothing unaona si kitu!!! Hoja hapa siyo kwenda ccm ili utoe umaskini. Hoja ni vijana wa upinzani kupeta Mara tu walivyoingia ccm na kuwabwaga wakongwe.
 
Nachoona hapa bi wivu uliopilitiza toka bavicha...
Endeleeni kusota...
 
Hao ulowataja tayari ni wanachama watiifu wa CCM. Nilitarajia unitajie hata mmoja alotoka direct upinzani
Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Mama Anna Mngwira alitoka ACT directly na huyu Mkuu wa mkoa wa Iringa bado ni mwanachama wa ADC.

Una swali zaidi?
 
Kazi rahisi sana kuiponda CCM Kisha unajiunga nalo unakula maisha
 
kwani makada gani wa ccm bado hawajapata teuzi!!!maana inawezekana kabisa unaimba na kucheza mwenyewe.
 
Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Mama Anna Mngwira alitoka ACT directly na huyu Mkuu wa mkoa wa Iringa bado ni mwanachama wa ADC.

Una swali zaidi?
Wakati kuna watu wameimba ccm ni ileile oo ni ile ile mpaka haja ndogo zimewatoka lakini wanapewa uRC watu tokea upande wa pili.
Maana yake ni kuwa wenye uwezo huo hakuna ndani mwao! Hayo yaliyomo ni mavuvuzela tuu
 
Hii milioni ulilipa?
 
...Kwanini mdogo....?
 
ndiomana ilichapishwa fomu moja tu ya ugombea urais pale chama chakavu
Ndio uzuri wa CCM freedom of opinion; jaribu kwenda kinyume cha Mbowe au viongozi wa vyama vingine uone shughuli yako

CCM Chama
 
Tuki- expand hoja yako; makada walioachwa hawana uwezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…