Tetesi: Vijana waliovamia mkutano mkuu CUF wafukuzwa uanachama

Tetesi: Vijana waliovamia mkutano mkuu CUF wafukuzwa uanachama

Vizuri sana,na wafunguliwe mashitaka ya kuleta vurugu. Hawa vijana wanatumikia ccm kwa vijisent vidogo.

Hii ni harusi yenu wenyewe mjipigie vigelegele wala CCM hawahusiki hapa.Wala msitafute mchawi, wachawi ni nyie wenyewe kizuri zaidi mmepata nafasi ya kuonyesha rangi zenu halisi ndio maana watz hawawezi chagua huu ujinga.
 
Hahaha alijikimbiza Ikulu kumpongeza mtukufu nashangaa hajapata hata kazi za kushauri mambo ya uchumi tz
 
Hiyo ndiyo Afrika, kumtofautisha standard seven leaver na prof ni ngumu sana
 
Huyu profesa kachanganyikiwa au katumwa. Alijiuzulu kwa hiari yake. Ikiwa hakupata kura za kutosha hakukua na haja ya kujiaibisha hivi. Hao waliofanya fujo wangepewa adhabu badala ya kufukuzwa uanachama labda iwe Sheria zao za chama zinasema hivyo.
 
Hivi huyu Lipumba anaitakia nini CUF ilhali aliamua kuisaliti kwa vipande thalathini vya fedha toka chama tawala? Ataendelea kutumiwa na hao hadi lini huyu ?
Hivi mbona sababu ya Lipumba kutoka huko hamuitaji? Je Mnaikumbuka?
 
Kama ulimuacha mkeo kwa kutokua na imani nae thn ukagundua adui yko no1anamsalandia ,kheri kumrudia.Chadema wameingiza miguu yte uchaguzi wa CUF hili LIPUMBA na wanachama wamelishtukia.
 
Back
Top Bottom