Vijana wamechaguliwa tena UDOM kusoma hizi kozi, washaurini kabla hawajaenda kupoteza muda

Vijana wamechaguliwa tena UDOM kusoma hizi kozi, washaurini kabla hawajaenda kupoteza muda

Justdr

Member
Joined
Jun 1, 2021
Posts
52
Reaction score
104
Vijana wamechaguliwa tena UDOM kusoma hizi course
Bachelor of Arts in English,
Bachelor of Arts History,
Bachelor of Arts Kiswahili😭😭😭
Ni huzuni kwa kweli.

Kuna hizi za sayansi pia
Bachelor of science in chemistry
Bachelor of science in physics
Bachelor of science in biology

Mm siyo muandishi mzuri imeniuma nimeamua niandike.

Wana JF Naomba muwashauri hawa vijana kabla hawajaenda kupoteza muda wao huko vyuoni🙏🙏
 
Hao ingefaa degree iwe bachelor of education....
Vinginevyo vijana wanaenda kutwanga maji kwenye kinu na makozi hayo
 
Tuliambiwa somo la historia lifundishwe mpaka chuo kikuu na historia ya nchi iandikwe upya. Sasa sijui sisi tuliosoma Historia ya ulaya tungeenda wapi? Kiswahili lazima sisi donor country ya lugha ya kiswahili chezea jiwe wewe! Wenzetu wakenya wameshaandika mpaka Google ya kiswahili sisi ni siasa tuuuuuu.
 
Vijana wamechaguliwa tena UDOM kusoma hizi course
Bachelor of Arts in English,
Bachelor of Arts History,
Bachelor of Arts Kiswahili[emoji24][emoji24][emoji24]
Ni huzuni kwa kweli.

Kuna hizi za sayansi pia
Bachelor of science in chemistry
Bachelor of science in physics
Bachelor of science in biology

Mm siyo muandishi mzuri imeniuma nimeamua niandike.

Wana JF Naomba muwashauri hawa vijana kabla hawajaenda kupoteza muda wao huko vyuoni[emoji120][emoji120]
Si watapata degree?
Maana kuna upumbavu umekaa kwenye vichwa vya wasomi wengi kuthamini cheti na sio kilichopo kichwani na jinsi kinavyoweza kusaidia kutatua changamoto kulingana na mazingira yetu
 
Si watapata degree?
Maana kuna upumbavu umekaa kwenye vichwa vya wasomi wengi kuthamini cheti na sio kilichopo kichwani na jinsi kinavyoweza kusaidia kutatua changamoto kulingana na mazingira yetu
Watapata degree ndiyo but then what?
 
Janga la ajira ni kwa fani zote.

Shida ya watu ni kuthamini mavyeti ya degree kuliko skills ama ujuzi.

Ni heri ujiwekeze ukasomee ufundi na ujiongeze uwe wa kisasa utakua na mwanga kuliko kusomea mavitu ambayo utakachofaidika ni kutunukiwa cheti tu.
 
Vijana wamechaguliwa tena UDOM kusoma hizi course
Bachelor of Arts in English,
Bachelor of Arts History,
Bachelor of Arts Kiswahili😭😭😭
Ni huzuni kwa kweli.

Kuna hizi za sayansi pia
Bachelor of science in chemistry
Bachelor of science in physics
Bachelor of science in biology

Mm siyo muandishi mzuri imeniuma nimeamua niandike.

Wana JF Naomba muwashauri hawa vijana kabla hawajaenda kupoteza muda wao huko vyuoni🙏🙏
Ila hawa mwisho wa siku si wanaishia kua walimu ama
 
Back
Top Bottom