Vijana wamechaguliwa tena UDOM kusoma hizi kozi, washaurini kabla hawajaenda kupoteza muda

Vijana wamechaguliwa tena UDOM kusoma hizi kozi, washaurini kabla hawajaenda kupoteza muda

Wana jf mambo vp? Eti bachelor of science with education ili upige Hadi masters Ina hitaji kama GPA ya ngapi??
Minimum 2.7/5 ila inabidi upate gpa kubwa ili huweze kucompete kupata nafasi
 
Vijana wamechaguliwa tena UDOM kusoma hizi course
Bachelor of Arts in English,
Bachelor of Arts History,
Bachelor of Arts Kiswahili[emoji24][emoji24][emoji24]
Ni huzuni kwa kweli.

Kuna hizi za sayansi pia
Bachelor of science in chemistry
Bachelor of science in physics
Bachelor of science in biology

Mm siyo muandishi mzuri imeniuma nimeamua niandike.

Wana JF Naomba muwashauri hawa vijana kabla hawajaenda kupoteza muda wao huko vyuoni[emoji120][emoji120]
Vp na kuhus course ya data science ni nzur au vp naomb mutuelekezee
 
Vijana wamechaguliwa tena UDOM kusoma hizi course
Bachelor of Arts in English,
Bachelor of Arts History,
Bachelor of Arts Kiswahili[emoji24][emoji24][emoji24]
Ni huzuni kwa kweli.

Kuna hizi za sayansi pia
Bachelor of science in chemistry
Bachelor of science in physics
Bachelor of science in biology

Mm siyo muandishi mzuri imeniuma nimeamua niandike.

Wana JF Naomba muwashauri hawa vijana kabla hawajaenda kupoteza muda wao huko vyuoni[emoji120][emoji120]

Mpaka wameanzisha hizo course inaonekana kuna uitaji kwenye soko au jamii yetu mfano hiyo chemistry hapo utaenda kufanya kazi kwenye viwanda vya maji sasa hivi vipo kibao.Pia kwenye shule zetu za private level ya secondary unafundisha somo la chemistry unakuwa mtu wa maabara kuandaa practical za necta form 4. Hizo nafasi za kazi unaomba.kazi ziko nyingi sana.

Kazi zipo nyinyi tu ila sasa anaenda kusoma hiyo course anataka akimaliza tu apewe kazi aanze kuishi,
Kazi lazima utafute yaani lazima uombe hakunaga maisha kama hayo ya kumaliza tu upo kazini

Yule mzee anaetangaza matokeo ya Covid 19 shirika la afya duniani,alisomea biology huko kwao Ethiopia masters akaenda kupiga marekani Leo yuko shirika la afya duniani angewaza kama wewe hiyo degree ya biology asingesoma.

Course unayotakiwa kusoma unatakiwa uwe na uwezo nayo,wengi wetu hizo course hatuna uwezo nazo wengi wanaangalia hela sasa hakuna aliefanikiwa kwa kuangalia hela na kwa kukaa tu kazi ije yenyewe kama ailivyokwa walimu,
Sasa hivi walimu akili zimewakaa sawa.

Kufanya kazi ya course uliosomea sio lazima ifanane kabisa mfano mtu akisomea degree ya statistics kazi ambayo anatakiwa kufanya ni ya statistician,lakini anaweza kufanya kazi kama data manager,research officer,data officer,research associate,monitoring and evaluation,na zinginezo nyingi,

Lakini vijana wengi wanataka ifanane kila kitu yaani kama chemistry basi yeye awe mkemia na wakati kwenye course umesomea vitu vingi hapo.

Watu wengi wakienda kusoma chuo course wanauliza watu yeye wenyewe hajui chochote ndio maana hata akimaliza chuo anakuwa hajui chochote ,mimi siwezi kushangaa kwenye hilo.

Swala la kujua kipaji chako kiko kwenye course gani au kuwa na malengo yako ni wewe mwenyewe sio tu kufata mkumbo ukimaliza tu eti kazi utapata .
Tanzania lina vijana wa ovyo sana
 
Bachela of science with Mathematics nayo vipi?

Tatizo ni kwamba haujui ukisoma hiyo kozi utaenda kufanya kazi gani.

Pata GPA kubwa ubakie chuo ufundishe hiyo kozi uliosoma hapo uanze kuwafundisha wenzako.

Nenda kwenye website za vyuo vya UK angalia hiyo kozi mtu anaweza kufanya kazi kama nani?

Hata tu kwenye hicho chuo utakachoenda kusoma angalia tu kazi za kwenda kusoma utaziona,lakini wengi hawaangalii wao wanaenda tu kusoma.na wengi hawana malengo yoyote ndio maana wakimaliza wanaanza kusumbua watu kwani wao walivyoenda kusoma walikwa na malengo gani nayo ?
 
Si watapata degree?
Maana kuna upumbavu umekaa kwenye vichwa vya wasomi wengi kuthamini cheti na sio kilichopo kichwani na jinsi kinavyoweza kusaidia kutatua changamoto kulingana na mazingira yetu
Wakisoma hizo kozi nn wanapata cha kuja kupambana mtaani Bora hata masomo ya biashara
 
Back
Top Bottom