Vijana wamechaguliwa tena UDOM kusoma hizi kozi, washaurini kabla hawajaenda kupoteza muda

Vijana wamechaguliwa tena UDOM kusoma hizi kozi, washaurini kabla hawajaenda kupoteza muda

Umewahi kusoma tangazo la KAZI kwa hii kozi either utumishi au private

Ndio mkuu, lilikuwa tangazo la kazi nafasi ya lecturer.vyuo vitu vimeshawahi kutangaza nafasi ya kazi ya kufundisha mathematics kwenye chuo,haitaji kusomea uhalimu hiyo.
Mkuu pia kwenye mathematics kuna statistics ndani yake pia anaweza kuomba nafasi ya kuwa statistician,data analyst,data manager nanyinginezo kibao
 
Mdogo wangu nae Ilikuwa CBE bachelor of education akaona mambo yasiwe mengi kaendazake veta kasoma free ya serikali miez 6 badae kajiunga rasm anasomazake umeme [emoji23][emoji23][emoji23]ila watoto wa kiume Wana maamuz magumu [emoji23][emoji23]
Kama atasoma Umeme wa magari halafu akajitahidi kujua Umeme wa magari ya mzungu mbona anapiga hela Sana
 
Back
Top Bottom