Si watapata degree?Vijana wamechaguliwa tena UDOM kusoma hizi course
Bachelor of Arts in English,
Bachelor of Arts History,
Bachelor of Arts Kiswahili[emoji24][emoji24][emoji24]
Ni huzuni kwa kweli.
Kuna hizi za sayansi pia
Bachelor of science in chemistry
Bachelor of science in physics
Bachelor of science in biology
Mm siyo muandishi mzuri imeniuma nimeamua niandike.
Wana JF Naomba muwashauri hawa vijana kabla hawajaenda kupoteza muda wao huko vyuoni[emoji120][emoji120]
Wakitoka hapo mwaka wa 3 wanaandikaBachelor of Arts Kiswahili😭😭😭
Pole sanaMimi ni muhanga mmoja wapo wa B.A in History!!!
Sijawahi ona tangazo lolote la kazi linalohitaji qualification ya hiyo kozi.
Is more than ten years now!!!
NI BALAA ZITO.
😀😀😀😀not trueJanga la ajira ni kwa fani zote.
Shida ni kuthamini mavyeti
hajira kama hajira.Wakitoka hapo mwaka wa 3 wanaandika
- Tunaomba serikali hitoe hajira alafu ihongeze mshaara
- Rakini wahajiliwa wazee wapunguzwe kazini kupisha vijana
- Serikali inaaribu sana kutohajiri vijana alafu hinasingizia ela amna
Kama ana uwezo wa kubadili kozi afanye hivyo Ila Kama hawezi akomae nayo Ila wote wajue Kabisa wakimaliza wanatakiwa wajiajiriWapoteze muda et?
Ila hawa mwisho wa siku si wanaishia kua walimu amaVijana wamechaguliwa tena UDOM kusoma hizi course
Bachelor of Arts in English,
Bachelor of Arts History,
Bachelor of Arts Kiswahili😭😭😭
Ni huzuni kwa kweli.
Kuna hizi za sayansi pia
Bachelor of science in chemistry
Bachelor of science in physics
Bachelor of science in biology
Mm siyo muandishi mzuri imeniuma nimeamua niandike.
Wana JF Naomba muwashauri hawa vijana kabla hawajaenda kupoteza muda wao huko vyuoni🙏🙏