Siku hizi wamewageza mademu kama bidhaa,anajule pale nikimpangia laki,ndani ya wiki mbili na mla na kutambaa na kweli huwaga hawachomoki (japo wapo ila wachache mno).Siku hizi hata ule ufundi wa kutongoza hamna na kama ukiwa na mzigo unasahau hata kutongoza.
Kwa kifupi pesa imerahisisha sana upatikanaji wa ngono, japo wanawake wanaona kama wanatukomoa.Kuthaminisha ngono pesa,kumewafanya wanawake wawe na grade, kuna wa buku,buku mbili, buku tano,buku kumi,elfu 20,laki na kuendelea.So kinacho bakia ni mfuko wa mwanaume,ndio utakao amua aende na grade ipi.