Vijana wanasema hadharani kabisa kwamba wananunua sex

Tutafute hela tuwatengenezee watoto wetu maisha mazuri wakifika umri wa kujitegemea na kuondoka nyumbani mambo yawe tambalale ili mabinti wetu wasiishie kuishi maisha kama haya
 
Tutafute hela tuwatengenezee watoto wetu maisha mazuri wakifika umri wa kujitegemea na kuondoka nyumbani mambo yawe tambalale ili mabinti wetu wasiishie kuishi maisha kama haya
Ila wapo mabinti ambao wazazi wao hawana hela nyingi kivile ila wamewafunza vizuri ni maana ya utu, kujiheshimu na hofu ya Mungu. Sometimes si kiwango cha fedha mzazi alichokuwa nacho bali,uliwafunza nini hao mabinti zako. Mfano Wema baba yake alikuwa balozi, Uwoya baba yake alikuwa rubani ,ila nazani tabia zao nazani unazijua.
 
Yap kesi kama izo zipo lakini nafikiri sababu kubwa pia ni umasikini ukijumlisha na hizi media na maigizo ya hollywood basi mabinti ndo akili zao zimepumbazwa kabisa. Kina binti wa dada angu sasa hivi yupo chuo yaani akiniambiaga tu anko nina shida fulani nampa hela fasta fasta maana najua nikimcheleweshea tu kinachofuata ni kudanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…