Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

Tuambie bana mkuu utabarikiwa...kuajiriwa mizinguo!

Share with us please!
I will one day....ila kitu kimoja nilichogundua nimekijenga nina tabia za kibiashara za wahindi, nimesoma vitabu vingi vya kijasiriamali vitu vingi wanavyoandika kuhusu namna ya kufanikiwa kibiashara nimejikuta ninavyo, bahati mbaya sana mifumo yetu ya maisha haitujengi kulingana na vipaji vyetu. Mfumo ni ule ule soma(upate degree),ajiriwa,oa,jenga....hapo umefanikiwa.
 
Ushauri huu unampa nani? Mkurugenzi fulani au mfanyakazi aliechoka na ajira anataka kujikwamua? Kama hivyo ndio vitu unatakiwa kuwa navyo kabla ya kuacha kazi na kujiajiri 99% hawatajiajiri....na kwa maisha yetu ya ki-Tanzania mtu kama kazi inampa hivyo vitu haachi kamwe,atasubiri pensheni yake na kwa uwezo huo si chini ya 100m.
 
chondechonde mkuu okoa jahazi,tuambie
 
wazo langu ni kuacha kazi kisha kwenda shule kusoma ujuzi wa fani niipendayo, nafikiri nitafanya vizuri kwenye ujasiriamali kupitia fan yangu, what do you think?
 
Wanajukwaa wenzangu habari, mada hii imenigusa sana ninakama mwaka mmoja sasa mtaani toka niache kazi nikiwa nimefail katika kujiajiri kwa mara hii ya kwanza wakati nipo kwenye ajira kupitia mkopo niliweza kununua bodaboda 2 ambazo ziliniingiza pesa ilinipa jeuri ya kuacha kazi nikiwa na wazo kwamba niache kazi niende kujiajiri kwa kufungua biashara hata ya kibanda lakini nilifungua saluni ya kiume licha ya kwamba biashara mpya eturn yake kwa mwanzoni ni ndogo lakini changamoto ikawa kinyozi sikudumu naye alifanya kazi kwa mwezi moja tu nikamtafuta wa pili naye alikaa mwezi wiki tu sikuwana option nikafunga na kurudisha chumba cha mtu vinginevyo kodi inanihusu, nimejifunza na naendelea kujifunza kuwa katika kutaka kujiajiri sio tu mtaji ni tatizo lakini pia usimamizi wa biashara zenyewe ni ngumu.
 
Usikate tamaa usikate tamaaa... Pambana hakuna kitu kirahisi ndugu.. Mtangulize Mungu omba sana kwa imani yako na tia bidii amini Mungu ata kufungulia njia marufuku kukata tamaaa... Mm kuna dogo nilimpa goli la chips alicho nifanyia nime muachia Mungu tu.. Ila sija kata tamaa nita ifungua tena mda co mrefu
 
Makosa uliyoyafanya ni kufanya biashara usiyoiweza au huna ujuzi nayo, huipendi n.k Ili ufanikiwe unahitajika kujitoa 100%. Ilibidi ufanye biashara ambayo unaijua na kuipenda afu we ndo uwe msisimamzi au unaifanya mwenyewe
 
wazo langu ni kuacha kazi kisha kwenda shule kusoma ujuzi wa fani niipendayo, nafikiri nitafanya vizuri kwenye ujasiriamali kupitia fan yangu, what do you think?
Soma ukiwa kazini mkuu evening class then ukimaliza fungua biashara yako ikisimama piga kazi chini.
 
Asante sana mkuu, nimeichukua hiyo, pole pia na wewe hakuna kukata tamaa
 
Makosa uliyoyafanya ni kufanya biashara usiyoiweza au huna ujuzi nayo, huipendi n.k Ili ufanikiwe unahitajika kujitoa 100%. Ilibidi ufanye biashara ambayo unaijua na kuipenda afu we ndo uwe msisimamzi au unaifanya mwenyewe
Umesema kweli, hiyo ni part 1 ya jitihada zangu,
 
Makosa uliyoyafanya ni kufanya biashara usiyoiweza au huna ujuzi nayo, huipendi n.k Ili ufanikiwe unahitajika kujitoa 100%. Ilibidi ufanye biashara ambayo unaijua na kuipenda afu we ndo uwe msisimamzi au unaifanya mwenyewe
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] Safi sana mkuu, Hii secta ya kujiajir inakua more than possible pale unapofanya kitu ulcho na ujuz nacho. Nimeona wengi wanaacha kazi wanafungua biashara na wanaziendesha wenyewe na wamefika mbaali ndan ya mda mfupi mno.
 
Siku zote watu nawaambia kitu kimoja ili ujiajiri unahitaji kuwa na wazo sahihi na uamini unachotaka kukifanya na sasa fanya kazi usiku na mchana kufanikisha hilo
 
Soma ukiwa kazini mkuu evening class then ukimaliza fungua biashara yako ikisimama piga kazi chini.

Asante sana,lakini mkoa ninao fanyia kazi hakuna vyuo vya electrical engineering iwe day wala evening hapo nalazimika kuacha kazi nikasome au nakosea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…