Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

Tunaomba mdau utengeneze WhatsApp au Telegram group ili kazi yako iwe rahisi kwa faida ya wengi
 
Aiseeee mm na laptop yangu na bando la kutosha nashinda tu na check movie. Shukran mdauu ulieleta hii habar naomba kujua unajiungaje huko
 
Habari kaka
Inavyoonekana huwez kupata project mpaka ufanye mitihani yao ambayo ni $ 5 ??
Au kuna njia nyingine??
 
Mkuu kwangu inafeli..any other means?
 
Mkuu hongera, kifupi ni wachache sana wanaoijua freelancer, hvyo wengi wataishia kuingia chaka na wengine kutapeliwa kirahisi kwakuwa hawajui ukizingatia sasa hvi fake network marketing zimezagaa sana now days,

So kwakuwa umeamua kusaidia vijana wenzio, ukiwa kama mzoef kwenye hii issue ungewadadavulia kinaga ubaga kuanzia namna ya kujisajili mpk mpka mwisho wa process.ikiwemo

.namna ya kujiunga na vitu ambavyo anatakiwa kuvijaza kuna mmoja( ameombwa email) ili ajue namna ya kuepuka kiweka vitu vitakavyopelekea utapel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…