Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

Account ninayo mda tu but kila nikitaka ku bid msg inakuja kwamba nilipie account fee USD 1
Yes ukijiunga unapewa mwez mmoja free na baada ya hapo utakuwa unalipa monthly fee kila mwezi kutegemea na aina ya akaunti uliyo nayo mfano mm nalipa dollar kumi kila mwez
 
Ukisharegister unapataje mpunga mkuuu mana nimechek ila bado cjajua how do u earn money through that site
baada ya hap utaingia sehem ya user only ambapo ukiingia utakut vitangazo kgd af juu kuna sehem ya kuweka number ambaz utakua ushaziona juu ya hyo sehem.
ukiingiz hizo number itaonekana kam umesoma hayo matangaz xo ndo hela zinapoingia kwenye hyo account uliyoifungua.
 
Mkuu tafadhali sana usichafue Uzi Wa Mkuu kwa muda.haya mambo yako ni affiliate sites kimsingi unatafuta mteja Wa kuclick hiyo link ili upate pesa.

Huku Uzi unauhusu swala zima la freelancer... Which means hardwork!....unapiga kazi.... Real work..aidha Designing au copy writing advert,article sales letter then unalipwa pesa....sio swala kama la kwako la clickbait"
 
Kwa kuongezea tu, mwambie hizo hela hawezi kuzipata ng'o. Na uzwazwa wake .
 
Jiulize hivi hao wataokukipa wewe kwa kuingiza namba hawajui kuwa utakuwa unaskip matangazo,, yaan utakuwa huangalii tangazo?? pia jiulize wangapi wamewahi pata hiyo hela mkononi, hahaha umechelewa sana .
 
mkuu..nimeipenda hii lakini nahisi ni kwa watu wenye elimu kubwa...sasa wale wengine....
 

Kabla sijacomment chochote naomba nikupe likes nyingi saaana!! Vijana wa Kitanzania tuna uchoyo mno!! Hatutamani kuona wengine wanafanikiwa!! Wewe ni kijana wa mfano, hongera sana!!

Uendelee na moyo huo huo, tukibadilika tutabadilisha taifa na vijana wengi kuondokewa na misongo inayotokana na ukata na ukosefu wa ajira!! Online jobs wengi tunadhani ni matapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…