Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

Tatizo sio uliacha kazi kwa pupa ila hiyo sababu ya pambaz, totoz na bataz ndio tatizo lililokufanya uwe bankrupt fasta
Hapana mkuu,
Hiyo ni sababu lkn si kubwa sana
Kwani nilikuwa natumia asimilia ndogo ya faida,

Ila jiliona ningesevu hizo ela na kununua hata kitu tangible ingekuwa poa sana.
 
Ungechukua likizo ya miezi mitatu bila malipo na mwezi mmoja wa likizo yako ya mwaka. Miezi minne ingesaidia kuona muelekeo wa biashara.
Muda mfupi sana..huo tuulize sisi...unaweza ukapiga hela nyingi hata mwaka... baada ya hapo mambo yakabuma....jambo la msingi usi deal na biashara moja once you hv capital...
 
Ww huwezi kuacha kazi tena....ushakuwa muoga....ukifeli kidogo unarudi kuajiriwa???njia zinatafutwa mbele kwa mbele...na ukifaulu mtihani wa kuirudisha biashara mahala pake...ndio ukomavu wenyewe...
 
Swala ni kupiga mahesabu makali ! Mf kazi ndogo ya chips , umepata sehemu nzuri unauza 100000 kwa siku , faida ni 50000 , unakula 25000 na familia yako . Kumbuka ubunifu unakuwa siku baada ya siku , kwa mwaka utakua wapi ? Sasa JPM ameondoa usumbufu wa biashara ndogo ! Achana na matanuzi , kujiajiri ni mpango mzima
 
Kurudi kuajiriwa pia sio rahisi sana. Kwanza kuna waajiri wanaoiangalia ile gap ya muda ambao uko nje ya ajira rasmi negatively (wakikuchukua utawaacha na kurudi tena kujiajiri au wanakuona failure). Kwenye cv/interviews uliaccount vipi kipindi hiki? On a personal level muda uliopoteza haukusumbui ukijilinganisha na wenzio uliowaacha kwenye ajira au ukifikiria ungekuwa wapi usingetoka?
 
Kujiajiri sio lazima uache kazi mbona mimi ni mwajiriwa na nina biashara zaidi ya tatu mjini naoperate japo sinaga weekend wala kulala saa4 mimi nimewahi sana kulala saa6 kuamka kila siku 11 ili nifanye yangu na ikifika saa 2 asbh naingia kazini.
Kingine kujiajiri lazima ukubali kufanya kazi na watu na lazima ukubali kupigwa hakuna biashara inayolipa bila kuliwa.
 
umetoka shule,hujawahi fanya biashara,kulupu kwenye biashara..lazima ufeli,ungesoma biashara kidogo ungejua msemo 'usiweke mayai yote kwenye kapu moja'
 
Tulikuwa tunasema kama ww,
Mambo ya kupiga hesabu kwenye calculator ya simu,

Ishu ingia ucheze ngoma mwenyewe,

Ila bado naamini kuna ambao wana acha na kufanikiwa, ila huwa wapo makini na wameshajijenga
 
Mi na uoga wangu wa maisha wallahy siku nitakayoacha au kuachishwa kazi nadhani ndo nitakufa hapo hapo. Sijawahi kufikiri maisha au chanzo chengine cha kipato nje ya ajira yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana, mtumishi wa umma una afadhali hata mimi ningekuwa mtumishi wa umma ningehakikisha mpaka nastaafu ila ukitaka kuchkia kazi ya kuajiriwa fanya kazi kwa muhindi.
 
Mkuu hii model ilitakiwa itutoe sana bongo. Ukizingatia kuna vijana wengi hawana ajira na hawana mtaji. Kungekuwa na utamaduni wa kuaminiana kufanya partnership walio kwenye kilo wangetoa mitaji walio mtaani wanakuwa wasimamizi. Tatizo tz kila mtu anataka afanye mwenyewe hatimae hakuna anaefika mbali maana mtaji.midogo pia usimamizi finyu bila kuwa na mashirikiano. Wahindi wanafanikiwa sababu ya ushirikiano na uaminifu.
 
Tulikuwa tunasema kama ww,
Mambo ya kupiga hesabu kwenye calculator ya simu,

Ishu ingia ucheze ngoma mwenyewe,

Ila bado naamini kuna ambao wana acha na kufanikiwa, ila huwa wapo makini na wameshajijenga
Daah kupiga hesabu rahisi sana
 
we mjamaaa umenifurahisha sanaaaa...eti wazo la kuacha lipo pale pale, its true huwa success haiji hivi hivi unatakiwa u fail then ufaulu... wengi waniipitia majanga hayo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…