nessonlegend
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 1,698
- 1,512
Tatizo sio uliacha kazi kwa pupa ila hiyo sababu ya pambaz, totoz na bataz ndio tatizo lililokufanya uwe bankrupt fasta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu,Tatizo sio uliacha kazi kwa pupa ila hiyo sababu ya pambaz, totoz na bataz ndio tatizo lililokufanya uwe bankrupt fasta
Muda mfupi sana..huo tuulize sisi...unaweza ukapiga hela nyingi hata mwaka... baada ya hapo mambo yakabuma....jambo la msingi usi deal na biashara moja once you hv capital...Ungechukua likizo ya miezi mitatu bila malipo na mwezi mmoja wa likizo yako ya mwaka. Miezi minne ingesaidia kuona muelekeo wa biashara.
Sio ya kwetu hii.Ungechukua likizo ya miezi mitatu bila malipo na mwezi mmoja wa likizo yako ya mwaka. Miezi minne ingesaidia kuona muelekeo wa biashara.
Ww huwezi kuacha kazi tena....ushakuwa muoga....ukifeli kidogo unarudi kuajiriwa???njia zinatafutwa mbele kwa mbele...na ukifaulu mtihani wa kuirudisha biashara mahala pake...ndio ukomavu wenyewe...Aisee,
Mimi ni moja ya watu niliyefanya maamuzi magumu ya kuacha kazi nzuri na kwenda kujiajiri...
Ofcoz nakiri kwamba, Utoto na uharaka wa kupata mafanikio kwa mura mfupi ulichangia.
Niliajiriwa soon after school, nikafanya kazi kama mwaka na nusu kwenye makampuni mawili, moja ni kampuni kubwa tu hapa nchini.
Nilisave ela nyingi na nyingine nikaongezewa, then nikapiga kazi chini.
Kuna kabiashara nilikuwa nakiendesha nikiwa kazini, baada ya kuona inalipa kwa kiasi fulani bila ya kuwa commitment sana nikapiga kazi chini niwekeze nguvu huko.
Aisee,
Niligundua makosa niliofanya,
1. Fedha niliyowekeza ndio nilitegemea inipe mahitaji yote yangu.
2. Sikuweka akiba, na sikuwa na source nyingine ya kipato
3. Matumizi ya hela yalikuwa rafu sanaa, yani viwanja, totoz, pambaz ilikuwa sanaa tu.
Pamoja na makosa hayo, Mziki ukaja wa TRA,
Nilikula fine za maana na ndo ukawa mwisho wangu.
Japo biashara ile ilikuwa inalipa, ila vikwazo vikawa mipakani, yani mwaka mpya wa kodi ukaja na kodi zake kwa hizo bidhaa.
Ushauri.
1. Usiache kazi kabla ujajidhihirisha biashara unayofanya inakulikulipa kuliko mshahara
2. Kabla ya kuacha kazi hakikisha unatenga fedha ya matumizi yako ya kila siku kwa mwaka mzima, kuanzia malazi, makazi na chakula na mengineyo.
3. Hakikisha trend ya biashara ni nzuri na unaona future yake,
4. Acha kazi kwa amani na mahusiano mazuri, siku mambo yakiharibika bado unanafasi ya kurudi.
Kwasasa nimerudi mzigoni na kwakua bado sijachoka kutake risk, bado naweka pesa kwenye ishu moja. Nimehamia kwenye Tech investment, naamini kwa mbeleni italipa.
Ila mawazo ya kuacha kazi yapo pale palee.
Alamsiki!!
Mkuu,Ww huwezi kuacha kazi tena....ushakuwa muoga....ukifeli kidogo unarudi kuajiriwa???njia zinatafutwa mbele kwa mbele...na ukifaulu mtihani wa kuirudisha biashara mahala pake...ndio ukomavu wenyewe...
Tulikuwa tunasema kama ww,Swala ni kupiga mahesabu makali ! Mf kazi ndogo ya chips , umepata sehemu nzuri unauza 100000 kwa siku , faida ni 50000 , unakula 25000 na familia yako . Kumbuka ubunifu unakuwa siku baada ya siku , kwa mwaka utakua wapi ? Sasa JPM ameondoa usumbufu wa biashara ndogo ! Achana na matanuzi , kujiajiri ni mpango mzima
Mimi nimeacha kazi tena inayolipa sana kikubwa kilichosababisha ni uhuru wa maisha yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana, mtumishi wa umma una afadhali hata mimi ningekuwa mtumishi wa umma ningehakikisha mpaka nastaafu ila ukitaka kuchkia kazi ya kuajiriwa fanya kazi kwa muhindi.Mi na uoga wangu wa maisha wallahy siku nitakayoacha au kuachishwa kazi nadhani ndo nitakufa hapo hapo. Sijawahi kufikiri maisha au chanzo chengine cha kipato nje ya ajira yangu
Mkuu hii model ilitakiwa itutoe sana bongo. Ukizingatia kuna vijana wengi hawana ajira na hawana mtaji. Kungekuwa na utamaduni wa kuaminiana kufanya partnership walio kwenye kilo wangetoa mitaji walio mtaani wanakuwa wasimamizi. Tatizo tz kila mtu anataka afanye mwenyewe hatimae hakuna anaefika mbali maana mtaji.midogo pia usimamizi finyu bila kuwa na mashirikiano. Wahindi wanafanikiwa sababu ya ushirikiano na uaminifu.Kujiajiri sio lazima uache kazi mbona mimi ni mwajiriwa na nina biashara zaidi ya tatu mjini naoperate japo sinaga weekend wala kulala saa4 mimi nimewahi sana kulala saa6 kuamka kila siku 11 ili nifanye yangu na ikifika saa 2 asbh naingia kazini.
Kingine kujiajiri lazima ukubali kufanya kazi na watu na lazima ukubali kupigwa hakuna biashara inayolipa bila kuliwa.
Daah kupiga hesabu rahisi sanaTulikuwa tunasema kama ww,
Mambo ya kupiga hesabu kwenye calculator ya simu,
Ishu ingia ucheze ngoma mwenyewe,
Ila bado naamini kuna ambao wana acha na kufanikiwa, ila huwa wapo makini na wameshajijenga