Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Utakuwa mtumwa if utaitegemea ajira yako kwa muda wote. Lakin utakua tajir kama ajira yako itakuwa ni moja kati vyanzo vingi vya mapato unavyomiliki.kuajiriwa ni utumwa period.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa mtumwa if utaitegemea ajira yako kwa muda wote. Lakin utakua tajir kama ajira yako itakuwa ni moja kati vyanzo vingi vya mapato unavyomiliki.kuajiriwa ni utumwa period.
USIKARIRI MAISHA. UTAJIRI HAUTEGEMEI MSHAHARA AU AJIRA!Wanaotajirika wengi ni walioajiriwa wakapata mtaji wa kutosha wakaingia kwenye ujasiriamali wenye tija, kujiita mjasiriamali na vi mtaji vya kuuza vibanda na viduka duka utajiri utauskia kwa wengine tu
Upo hadi hukuKimya humu,, hakuna mrejesho wowote kwa walioacha kazi na kujiajiri wenyewe
Nakubariana na ww mkuu,, kuajiriwa ni utumwa flani hv pia unakuwa unafanya kazi ya kukamilisha malengo ya watu flanKuacha kazi ni jambo gumu sana, mtu umezoea kila mwisho wa mwezi pesa inaingia kwa uhakika, ila kiuhalisia kukomaa na ajira Ni ugonjwa wa akili kwa maana share holder wote hua hawatosheki na faida kila mwaka mnapo achieve budget kuna wapa alarm Kua kuna uwezekano wa kupata zaidi wataongeza budget, hii inafanya nguvu uliyoweka mwaka uliopita utahitaji kuweka hata mara mbili yake mwaka unaofuata na wakiona hufikii malengo wanawaza namna ya kukureplace wachukue nguvu mpya, kwa haraka haraka tulio ajiliwa tujiulize swali hili itakuaje kazi unayoipenda kweny maisha yako ikafika mahala ukaona umefika na huwezi kuacha kazi Ikatokea wenye kampuni wakaamua kufunga na kuamua ku invest kweny biashara nyingine utafanyaje? Au imetokea mkataba wako ghafla umekua terminated? Kuajiliwa kuna fanya unakua unanyenyekea sana, unajipendekeza sana inafika mahala boss wako ameongea hata kitu cha kawaida unajichekesha tuu, kama huo sio ugonjwa wa akili ni nin? Kua na elimu hakuna maana ufanye kazi za ofsini, maana yake ni kuweza ku survive katika mazingira yoyote yale kwa Kua mbunifu, unakuta mtu amemaliza chuo miaka zaidi ya 2 anahangaika tu na mabahasha hafanyi kazi hata ya karanga kisa yeye msomi akae ofsini tu na mpaka hela ya vitafunwa apewe na dada zake nyumbani huu sio ugonjwa wa akili? Vijana tufikirie kujiajili tuache kuumwa huu ugonjwa wa akili.
Hahahah upo tayali kwa maamuzi magumu lakini? maana tayali unakuwa umeshazoea mambo ya mwsho wa mwezi
Bado ndio najipanga aiseeHahahah upo tayali kwa maamuzi magumu lakini? maana tayali unakuwa umeshazoea mambo ya mwsho wa mwezi
Sent using Jamii Forums mobile app