Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

Habari yako Chief. Vip naeza pata nafasi ya Internship hapo. Thank you in advance.
JE,? WAHITAJI...
* Kusajili kampuni
* Hesabu za Kodi, Hesabu za Kampuni,
*Kuandaa Memorandum....
* Kuandika Business Plan, Business Profile,
* Kuandaa Tender documents, CRB
*Kutengeneza LOGO, Business Cards, Brochures, Banners
* Printing - All types of Books
*Digital Printing: T-SHIRTS, CAPS, BAGS, PLATES, CUPS, etc.
TUPIGIE/ MESEJI - 0684 205039: WATSUP TU 0652 411402
BEI ZETU HAZINA USHINDANI, MIKOANI PIA TUNAHUDUMIA
 
Aisee,
Mimi ni moja ya watu niliyefanya maamuzi magumu ya kuacha kazi nzuri na kwenda kujiajiri...

Ofcoz nakiri kwamba, Utoto na uharaka wa kupata mafanikio kwa mura mfupi ulichangia.

Niliajiriwa soon after school, nikafanya kazi kama mwaka na nusu kwenye makampuni mawili, moja ni kampuni kubwa tu hapa nchini.

Nilisave ela nyingi na nyingine nikaongezewa, then nikapiga kazi chini.
Kuna kabiashara nilikuwa nakiendesha nikiwa kazini, baada ya kuona inalipa kwa kiasi fulani bila ya kuwa commitment sana nikapiga kazi chini niwekeze nguvu huko.

Aisee,
Niligundua makosa niliofanya,
1. Fedha niliyowekeza ndio nilitegemea inipe mahitaji yote yangu.

2. Sikuweka akiba, na sikuwa na source nyingine ya kipato

3. Matumizi ya hela yalikuwa rafu sanaa, yani viwanja, totoz, pambaz ilikuwa sanaa tu.

Pamoja na makosa hayo, Mziki ukaja wa TRA,
Nilikula fine za maana na ndo ukawa mwisho wangu.

Japo biashara ile ilikuwa inalipa, ila vikwazo vikawa mipakani, yani mwaka mpya wa kodi ukaja na kodi zake kwa hizo bidhaa.

Ushauri.
1. Usiache kazi kabla ujajidhihirisha biashara unayofanya inakulikulipa kuliko mshahara

2. Kabla ya kuacha kazi hakikisha unatenga fedha ya matumizi yako ya kila siku kwa mwaka mzima, kuanzia malazi, makazi na chakula na mengineyo.

3. Hakikisha trend ya biashara ni nzuri na unaona future yake,

4. Acha kazi kwa amani na mahusiano mazuri, siku mambo yakiharibika bado unanafasi ya kurudi.

Kwasasa nimerudi mzigoni na kwakua bado sijachoka kutake risk, bado naweka pesa kwenye ishu moja. Nimehamia kwenye Tech investment, naamini kwa mbeleni italipa.

Ila mawazo ya kuacha kazi yapo pale palee.

Alamsiki!!
 
Aisee,
Mimi ni moja ya watu niliyefanya maamuzi magumu ya kuacha kazi nzuri na kwenda kujiajiri...

Ofcoz nakiri kwamba, Utoto na uharaka wa kupata mafanikio kwa mura mfupi ulichangia.

Niliajiriwa soon after school, nikafanya kazi kama mwaka na nusu kwenye makampuni mawili, moja ni kampuni kubwa tu hapa nchini.

Nilisave ela nyingi na nyingine nikaongezewa, then nikapiga kazi chini.
Kuna kabiashara nilikuwa nakiendesha nikiwa kazini, baada ya kuona inalipa kwa kiasi fulani bila ya kuwa commitment sana nikapiga kazi chini.

Aisee,
Niligundua makosa niliofanya,
1. Fedha niliyowekeza ndio nilitegemea inipe mahitaji yote yangu.

2. Sikuweka akiba, na sikuwa na source nyingine ya kipato

Pamoja na makosa hayo, Mziki ukaja wa TRA,
Nilikuwa fine za maana na ndo ukawa mwisho wangu.

Japo biashara ile ilikuwa inalipa, ila vikwazo vikawa mipakani, yani mwaka mpya wa kodi ukaja na kodi zake kwa hizo bidhaa.

Ushauri.
1. Usiache kazi kabla ujajidhihirisha biashara unayofanya inakulikulipa kuliko mshahara

2. Kabla ya kuacha kazi hakikisha unatenda fedha ya matumizi yako ya kila siku kwa mwaka mzima, kuanzia malazi, makazi na chakula na mengineyo.

3. Hakikisha trend ya biashara ni nzuri na unaona future yake,

4. Acha kazi kwa amani na mahusiano mazuri, siku mambo yakiharibika bado unanafasi ya kurudi.

Kwasasa nimerudi mzigoni na kwakua bado sijachoka kutake risk, bado naweka pesa kwenye ishu moja. Nimehamia kwenye Tech investment, naamini kwa mbeleni italipa.

Ila mawazo ya kuacha kazi yapo pale palee.

Alamsiki!!
Pole kama ulifikiri ni jambo dogo.
 
Ungechukua likizo ya miezi mitatu bila malipo na mwezi mmoja wa likizo yako ya mwaka. Miezi minne ingesaidia kuona muelekeo wa biashara.

hizo likizo huzipati kiurahisi . labda serikalini tu..

hakuna kampuni binafsi inakupa likizo hizo sababu roles zako atazifanya nani? utawakwamisha...

mi nimeshawahi acha kazi sehemu nikafanya biashara kama miaka miwili hivi. baada ya kuona mambo magumu nikarudi kuajiriwa upya.. kwa kuomba upya. kwa cheo kingine ambacho nafasi ilikuwepo. mtu aliacha kazi kwenda majuu

ila likizo walikataa kata kata.. haiwezekani
 
Kwa sera mpya ya awamu hii tuna mfanyabiashara yupo magogoni, usishangae siku anawaagiza polisi waanze kutembeza Karanga na aisikirimu mtaani,

Baki kazini kwanza hadi wanajeshi wamalize opereshen zote, walianzia bureau wakaja korosh sasa sijui wataanza kutembeza line za sim mtaani hawa jamaa?
 
Kampuni ya mwisho niliokuwa nafanya kazi ni cooperate company, likizo zipo,

Ila ni kweli huwezi kuwa committed vzr

Likizo kama zotee,
hizo likizo huzipati kiurahisi . labda serikalini tu..

hakuna kampuni binafsi inakupa likizo hizo sababu roles zako atazifanya nani? utawakwamisha...

mi nimeshawahi acha kazi sehemu nikafanya biashara kama miaka miwili hivi. baada ya kuona mambo magumu nikarudi kuajiriwa upya.. kwa kuomba upya. kwa cheo kingine ambacho nafasi ilikuwepo. mtu aliacha kazi kwenda majuu

ila likizo walikataa kata kata.. haiwezekani
 
Mi na uoga wangu wa maisha wallahy siku nitakayoacha au kuachishwa kazi nadhani ndo nitakufa hapo hapo. Sijawahi kufikiri maisha au chanzo chengine cha kipato nje ya ajira yangu
Msomi usiogope, inawezekana kabisa ukajenga business inayokuwa. It just need right people, right product/service, and process.
 
Ungechukua likizo ya miezi mitatu bila malipo na mwezi mmoja wa likizo yako ya mwaka. Miezi minne ingesaidia kuona muelekeo wa biashara.
Kampuni binafsi sio rahisi kuruhusiwa, labda kama wewe sio mtu muhimu kwenye ofisini. Pia miezi mitatu ni muda mfupi sana. Kikubwa alichosema na cha maana ni kutenga pesa ya matumizi ya investment. Uwe na pesa ya kutumia between 12 na 16 months, kama ni mpangaji hakikisha umetoka kulipa kodi ya mwaka then good luck.
 
Kwanini uache kazi?
hela ya kuchukua tu mwisho wa mwezi ni tamu.tafuta watu makini waendeshe miradi yako.
 
Back
Top Bottom